figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Chalamila anafanana kama Ninja Turtle 😆😆😆Chalamila kaagiza Msimamizi wa Mabasi ya Tilisho fungwe pingu kwenye mkutano wa hadhara. Halafu akaambia waandishi wa habari wapige picha wazisambaze.
Nahisi wana ugomvi binafsi.
Hii ni dalili ya serikali isiyofuata Sheria. Mwanasiasa anaamrisha Polisi kufanya chochote. Hata akisema ua wanaua.
Sasa kama Bosi anafamyiwa hivi, vipi sisi walala hoi?
Nalaani alichofamya Chalamila. Kalewa madaraka.
Boss kama kosa, angepewa barua ya wito? Atakimbia aende wapi?
Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu stendi ya kimataifa ya Magufuli,
Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Chalamila kasema;
"...kama alivyosema amepigwa pingu kama sehemu ya onyo, natoa msahama kwa mkurugenzi wa Tilisho leo [Agasti 19,2026], nakwamba leo hii hii pia wamfungulie, na aruhusu mabasi yake yaweze kuingia na kutoka stendi ya magufuli...
kama kuna mtu yeyote anadhani nimekosea kutoa maelekezo haya, anipeleke mahakamani" Kasema Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, ndug. Albert Chalamila.
MY TAKE
Chalamila kaagiza Msimamizi wa Mabasi ya Tilisho fungwe pingu kwenye mkutano wa hadhara. Halafu akaambia waandishi wa habari wapige picha wazisambaze.
Nahisi wana ugomvi binafsi.
Hii ni dalili ya serikali isiyofuata Sheria. Mwanasiasa anaamrisha Polisi kufanya chochote. Hata akisema ua wanaua.
Sasa kama Bosi anafamyiwa hivi, vipi sisi walala hoi?
Nalaani alichofamya Chalamila. Kalewa madaraka.
Boss kama kosa, angepewa barua ya wito? Atakimbia aende wapi?
Yes,Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu stendi ya kimataifa ya Magufuli,
Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Chalamila kasema;
"...kama alivyosema amepigwa pingu kama sehemu ya onyo, natoa msahama kwa mkurugenzi wa Tilisho leo [Agasti 19,2026], nakwamba leo hii hii pia wamfungulie, na aruhusu mabasi yake yaweze kuingia na kutoka stendi ya magufuli...
kama kuna mtu yeyote anadhani nimekosea kutoa maelekezo haya, anipeleke mahakamani" Kasema Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, ndug. Albert Chalamila.
MY TAKE
Chalamila kaagiza Msimamizi wa Mabasi ya Tilisho fungwe pingu kwenye mkutano wa hadhara. Halafu akaambia waandishi wa habari wapige picha wazisambaze.
Nahisi wana ugomvi binafsi.
Hii ni dalili ya serikali isiyofuata Sheria. Mwanasiasa anaamrisha Polisi kufanya chochote. Hata akisema ua wanaua.
Sasa kama Bosi anafamyiwa hivi, vipi sisi walala hoi?
Nalaani alichofamya Chalamila. Kalewa madaraka.
Boss kama kosa, angepewa barua ya wito? Atakimbia aende wapi?
Sheria inayo umiza abiria sio Sheria.Wa TZ sisi ni watu wa ajabu sana, huwa tunataka utawala wa sheria lakini sheria ikifuatwa tunarudi kuangali je aliyevunja sheria ni ‘mlalahoi’ au ‘bosi’ then tuna judge kuanzia hapo tunaisahau sheria.
Sasa eneo limefungwa na serikali kutumika yeye analeta kiburi na dharau kwa mamlaka anafungua ,hapo kweli utailaumu mamlaka? Ajitambue na yeye vipesa kidogo tu anavimba mabega, alistahili alichpfanyiwaBaada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu stendi ya kimataifa ya Magufuli,
Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Chalamila kasema;
"...kama alivyosema amepigwa pingu kama sehemu ya onyo, natoa msahama kwa mkurugenzi wa Tilisho leo [Agasti 19,2026], nakwamba leo hii hii pia wamfungulie, na aruhusu mabasi yake yaweze kuingia na kutoka stendi ya magufuli...
kama kuna mtu yeyote anadhani nimekosea kutoa maelekezo haya, anipeleke mahakamani" Kasema Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, ndug. Albert Chalamila.
MY TAKE
Chalamila kaagiza Msimamizi wa Mabasi ya Tilisho fungwe pingu kwenye mkutano wa hadhara. Halafu akaambia waandishi wa habari wapige picha wazisambaze. Na wapambe wa Chalamila wakaambiwa wamzomee.
Nahisi wana ugomvi binafsi. Sababu hata Chalamila ni msafirishaji kama Tilisho
Hii ni dalili ya serikali isiyofuata Sheria. Mwanasiasa anaamrisha Polisi kufanya chochote. Hata akisema ua wanaua.
Sasa kama Bosi anafamyiwa hivi, vipi sisi walala hoi?
Nalaani alichofamya Chalamila. Kalewa madaraka.
Boss kama kosa, angepewa barua ya wito? Atakimbia aende wapi?
View attachment 3653443
CCM imetufikisha hapa ndiyo maana neno katiba mpya ni msamiati mgumu kwao.Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu stendi ya kimataifa ya Magufuli,
Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Chalamila kasema;
"...kama alivyosema amepigwa pingu kama sehemu ya onyo, natoa msahama kwa mkurugenzi wa Tilisho leo [Agasti 19,2026], nakwamba leo hii hii pia wamfungulie, na aruhusu mabasi yake yaweze kuingia na kutoka stendi ya magufuli...
kama kuna mtu yeyote anadhani nimekosea kutoa maelekezo haya, anipeleke mahakamani" Kasema Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, ndug. Albert Chalamila.
MY TAKE
Chalamila kaagiza Msimamizi wa Mabasi ya Tilisho fungwe pingu kwenye mkutano wa hadhara. Halafu akaambia waandishi wa habari wapige picha wazisambaze. Na wapambe wa Chalamila wakaambiwa wamzomee.
Nahisi wana ugomvi binafsi. Sababu hata Chalamila ni msafirishaji kama Tilisho
Hii ni dalili ya serikali isiyofuata Sheria. Mwanasiasa anaamrisha Polisi kufanya chochote. Hata akisema ua wanaua.
Sasa kama Bosi anafamyiwa hivi, vipi sisi walala hoi?
Nalaani alichofamya Chalamila. Kalewa madaraka.
Boss kama kosa, angepewa barua ya wito? Atakimbia aende wapi?
View attachment 3653443
Upo sahihi hatuna jema sasa mtu anapinga amri halali ya serikali tena hadharani wanataka abembelezwe labda ,tena enzi za magufuli angekaa ndani hata mwezi kudadeki zakeWa TZ sisi ni watu wa ajabu sana, huwa tunataka utawala wa sheria lakini sheria ikifuatwa tunarudi kuangali je aliyevunja sheria ni ‘mlalahoi’ au ‘bosi’ then tuna judge kuanzia hapo tunaisahau sheria.