Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Niliwahi kuuliza kitu humu, https://www.jamiiforums.com/threads...muua-kibaka-akanywa-bia-kusherehekea.1622901/Chalamila kaagiza Msimamizi wa Mabasi ya Tilisho fungwe pingu kwenye mkutano wa hadhara. Halafu akaambia waandishi wa habari wapige picha wazisambaze.
Kalewa madaraka.
Do you have Google?Any link to verify this info plz
Sheria gani ya kudhalilisha? Hatakiwa mtu kudhalilishwa awe tajiri au MasikiniKumbe maboss ndio sheria haziwahusu ila sisi walalahoi?🙆♂️🙆♂️
Kwa hiyo dawa sahihi ni kupiga pigu etiTilisho ana msongo wa mawazo, anasumbuliwa na madeni ya Bank, MAREJESHO!
Faida ya hicho Chama ni nini,wakati wanachama wote ni wadaiwa sugu wa mabank nchini?Huyo ndio mwenyekiti wa wamiliki Mabasi (TABOA). Kwenye mazungumzo lazima angekuwepo na mkuu wa mkoa
Mkuu nabari ya Bank hujui kwani hawana collateral lakiniFaida ya hicho Chama ni nini,wakati wanachama wote ni wadaiwa sugu wa mabank nchini?
Acha wapambane miaka ya nyuma walikuwa wanalalamika waarabu na wahindi kushika uongozi na ku dominate biashara. Enzi za mwenyekiti Mabrouk ilikuwa anaonekana ndio kiongozi wa migomo ya mabasi alikuwa akitoa tamko wamiliki wote wanaunga mkono. Enzi za JK alisumbua sana ilikuwa ishu kama hii lazima waitwe mezani ipatikane suluhuFaida ya hicho Chama ni nini,wakati wanachama wote ni wadaiwa sugu wa mabank nchini?
Noma Sana!Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti[angalia chini kwenye Video] ), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu stendi ya kimataifa ya Magufuli,
Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Chalamila kasema;
"...kama alivyosema amepigwa pingu kama sehemu ya onyo, natoa msahama kwa mkurugenzi wa Tilisho leo [Agasti 19,2026], nakwamba leo hii hii pia wamfungulie, na aruhusu mabasi yake yaweze kuingia na kutoka stendi ya magufuli...
kama kuna mtu yeyote anadhani nimekosea kutoa maelekezo haya, anipeleke mahakamani" Kasema Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, ndug. Albert Chalamila.
MY TAKE
Chalamila kaagiza Msimamizi wa Mabasi ya Tilisho fungwe pingu kwenye mkutano wa hadhara. Halafu akaambia waandishi wa habari wapige picha wazisambaze. Na wapambe wa Chalamila wakaambiwa wamzomee.
View attachment 3653446
Nahisi wana ugomvi binafsi. Sababu hata Chalamila ni msafirishaji(transporter) kama Tilisho
Hii ni dalili ya serikali isiyofuata Sheria. Mwanasiasa anaamrisha Polisi kufanya chochote. Hata akisema ua wanaua.
Sasa kama Bosi anafamyiwa hivi, vipi sisi walala hoi?
Nalaani alichofamya Chalamila. Kalewa madaraka.
Boss kama kosa, angepewa barua ya wito? Atakimbia aende wapi?
View attachment 3653443
😢😢😢Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti[angalia chini kwenye Video] ), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu stendi ya kimataifa ya Magufuli,
Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Chalamila kasema;
"...kama alivyosema amepigwa pingu kama sehemu ya onyo, natoa msahama kwa mkurugenzi wa Tilisho leo [Agasti 19,2026], nakwamba leo hii hii pia wamfungulie, na aruhusu mabasi yake yaweze kuingia na kutoka stendi ya magufuli...
kama kuna mtu yeyote anadhani nimekosea kutoa maelekezo haya, anipeleke mahakamani" Kasema Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, ndug. Albert Chalamila.
MY TAKE
Chalamila kaagiza Msimamizi wa Mabasi ya Tilisho fungwe pingu kwenye mkutano wa hadhara. Halafu akaambia waandishi wa habari wapige picha wazisambaze. Na wapambe wa Chalamila wakaambiwa wamzomee.
View attachment 3653446
Nahisi wana ugomvi binafsi. Sababu hata Chalamila ni msafirishaji(transporter) kama Tilisho
Hii ni dalili ya serikali isiyofuata Sheria. Mwanasiasa anaamrisha Polisi kufanya chochote. Hata akisema ua wanaua.
Sasa kama Bosi anafamyiwa hivi, vipi sisi walala hoi?
Nalaani alichofamya Chalamila. Kalewa madaraka.
Boss kama kosa, angepewa barua ya wito? Atakimbia aende wapi?
View attachment 3653443
Masikini mnachukia sana mtu akiwa na hela. Hasira za nini? Sheria inasema mtu akihoji afungwe pingu?Kumbe maboss ndio sheria haziwahusu ila sisi walalahoi?🙆♂️🙆♂️