Kumfunika Kapt. John Komba na Katapilla ilikuwa dharau

dharau ipo wapi hapo?au ulitaka watu wajilazimishe kunyanyua hilo zege hadi wavunje miguu ndo ingekuwa heshima?
heshima yako mkuu
 
Tumehudhuria mazishi mara nyingi mfuniko hujengewa baada YA mwili wa marehemu kushushwa kaburini mafundi hujengea na inachukua dk 20 tu. Hilo funiko la Komba la tani hizo la nini. Kuna maana mbaya bana either deliberate or implied. Komba kasiribwa sio kuzikwa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…