Kumfunika Kapt. John Komba na Katapilla ilikuwa dharau

Kumfunika Kapt. John Komba na Katapilla ilikuwa dharau

Mawazo ya kiza, mawazo ya kipumbavu, mawazo yaliyogandamana fikra finyu yanayoakisi aina ya mtu aliyeyatoa. Hilo "katapila" lililotumika ni nyenzo tu, kuna ulazima gani kuhangaika kijima kunyanyua tani nyingi za funiko la zege wakati kuna mashine inaweza kufanya kazi hiyo effortlessly? Ukiona watu wanaanza kuzusha na kuanzisha conspiracy kwenye vitu vidogo kama hivi ujue jamii imejaa masizi ya imani za giza!
 
Nafikiri kuna haja ya kuangalia tofauti ya taratibu ya maziko!
Sehemu nyingi (ikiwemo Kinondoni) mara nyingi, kama siyo zote, mifuniko ya makaburi utengenezwa kwa ZEGE linalomiminwa wakati huo (papo kwa papo) baada ya kutumbukiza Jeneza lenye mwili kwenye shimo ambalo linakuwa limeandaliwa. kwa hiyo hakuna haja ya watu/machine kubeba mfuniko kwa sababu hakipo.

Hii ya Captain, ni tofauti kwa sababu mfuniko uliandaliwa mapema-kwangu pia hili la kuandaa mpaka mfuniko ni ajabu!

Hahahaha mkuu huo ni uzito gani ambao atuushudii tunaposhiki maziko sehemu nyingine?
Au mfuniko unawekwa kutokana na uzito wa marehemu?
Acha kutudanganya watu na akili zetu hapo makaburini kinondoni ukipita leo utakuta watu wanazika pale lakini huwezi kuona katapilla ni watu wanafunika kwa mikono yao.
 
mfuniko ulikua mzito ndo maana kitumia ile mashine.

Swali je ni wapi kungine ulishawahi kuona greda?
Huu utaratibu kwa upande wangu ndio kwanza nimeanza kama sio kuona kujifunza kwenye mazishi ya kapteni.
 
Sasa sibora wangetumia winchi kuliko hilo dubwana
 
Je Jaji Warioba alikuwepo kwenye maziko hayo ya caterpillar
 
Sioni tatizo lolote kwenye kijiko kutumika kuweka mfuniko kaburini. Kile ni kitendea kazi kinatumika kumrahisia kazi binadamu. Hakukuwa na haja ya watu kujipinda kunyanyua ile mfuniko wa zege wakati kitedea kazi kipo. Kwa kuongezea ni kuwa vitendea kazi kweye taratibu za mazishi vipo vingi kwa hivi sasa. Kuna magari ya kubebea maiti, kuna matoroli maalumu ya kuwekea majeneza kwenda makaburini badala ya kubeba mabegani. Kuna winchi za kuteremshia masanduku kaburini (kama ilivyofayika kwa mandela). Lililofanyika kwa mfuniko wa kaburi kubebwa na kijiko ni sawa tu. Mbona as a gesture of respect watu waliushikia ili kuurekebisha. Mwisho ili kumpa heshima marehemu tuwe tunajipanga barabarani kutoka muhimbili mpaka kimara au gongo la mboto na kupokezana sanduku mabegani. Au sio?
 
Mawazo ya kiza, mawazo ya kipumbavu, mawazo yaliyogandamana fikra finyu yanayoakisi aina ya mtu aliyeyatoa. Hilo "katapila" lililotumika ni nyenzo tu, kuna ulazima gani kuhangaika kijima kunyanyua tani nyingi za funiko la zege wakati kuna mashine inaweza kufanya kazi hiyo effortlessly? Ukiona watu wanaanza kuzusha na kuanzisha conspiracy kwenye vitu vidogo kama hivi ujue jamii imejaa masizi ya imani za giza!

Ni kweli kabisa ila punguza jazba.
 
Mleta hoja kakaririnmatumizi ya bulldozer ni kuvunjavunja vibanda vyao vya kimachinga,kuvunja vijumba vilivyojengwa sehemu haramu!kwake bulldozer ni kifaa cha machukizo!
 
Kuzika ni tamaduni na heshima YA marehemu haina analogi au digitali kuzika kwa caterpillar ni dharau. Ni sawa na kutupa mwili wa marehemu. Heshima ZA kawaida ZA marehemu zienziwe. Hata wazee wa kinyasa wamepinga hiki JAMBO.
 
Mawazo ya kiza, mawazo ya kipumbavu, mawazo yaliyogandamana fikra finyu yanayoakisi aina ya mtu aliyeyatoa. Hilo "katapila" lililotumika ni nyenzo tu, kuna ulazima gani kuhangaika kijima kunyanyua tani nyingi za funiko la zege wakati kuna mashine inaweza kufanya kazi hiyo effortlessly? Ukiona watu wanaanza kuzusha na kuanzisha conspiracy kwenye vitu vidogo kama hivi ujue jamii imejaa masizi ya imani za giza!

unakadiria huo mfuniko uliko na uzito wa tani ngapi kwamba vijana wangeshindwa kubeba nakufunika kaburi la baba yao,mbunge wao,kaka yao,kipenzi chao mpendwa mh komba msijifanye muko kisasa sana mkaacha tamaduni za asili zenu.nje ya msiba wa mh komba wapi kwingine umewahi ona tukio kama hilo?come come back to your roots ndio maana wazungu wamefikia mahali wanawaambia muoane watu wa jinsia moja kwamba wewe mwanaume mwenzio akikupenda alete posa kwenu sababu nyie mmekua watu wakukubaliana na kila kitu hata kama kikotofauti na maadili ya utu na uafrika wako.take care mazuri tuyakubali lakini mabaya tuyakatae.kwa hili la mzee wetu komba mimi na sema hapana.
 
Kwanini yote hayo.....hebu tupeni tafsir ya neno kuzika kutoka kwenye kamusi....kwa nini tutumie mifuniko???wewe ni mavumbi na utarudi kwenye vumbi...je tunayakataa maandiki hayo.Hakuna haja ya gharama...kwenye kuzika.Simply teremsha mwili ndani ya kaburi na fukia na mchanga.Heshima kubwa mwili ukifukiwa.
 
Wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa Cpt.Komba nilimuona Kinana akitoa salute tofauti nazile za kijeshi....nini maana yake.Viongozi wa kiislamu ni sahihi kwa madhehebu yenu kutoa heshima za mwisho??
 
unakadiria huo mfuniko uliko na uzito wa tani ngapi kwamba vijana wangeshindwa kubeba nakufunika kaburi la baba yao,mbunge wao,kaka yao,kipenzi chao mpendwa mh komba msijifanye muko kisasa sana mkaacha tamaduni za asili zenu.nje ya msiba wa mh komba wapi kwingine umewahi ona tukio kama hilo?come come back to your roots ndio maana wazungu wamefikia mahali wanawaambia muoane watu wa jinsia moja kwamba wewe mwanaume mwenzio akikupenda alete posa kwenu sababu nyie mmekua watu wakukubaliana na kila kitu hata kama kikotofauti na maadili ya utu na uafrika wako.take care mazuri tuyakubali lakini mabaya tuyakatae.kwa hili la mzee wetu komba mimi na sema hapana.

Roots? seriously? Watu wanataka practicality, productivity na efficiency wewe unataka kukomaa na mfuniko wa zege mpaka ujambe eti ndiyo roots..sheesh!! Hebu kwanza nipe sababu nzuri kwa nini unadhani ilikuwa nzuri zaidi watu wagangamale na funiko la zege wakati nyenzo zipo, naomba sababu ya msingi kwanza mkuu ndiyo tutajadili vizuri, huenda unayo sababu ya maana.
 
Huyu ndie alisema 'ataingia msituni'? kama alizikwa kiserikali waliogopa asirudi akaingia msituni ndiyo sababu wakaweka mfuniko mzito.Hakuna dharau hapo Tz kwanza mengine badae
 
Je Jaji Warioba alikuwepo kwenye maziko hayo ya caterpillar

Warioba hakuudhuria maziko ya komba kuanzia Dar mpaka mbinga
Nadhani yale matamko ya marehemu yalimumiza sana mzee na taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom