Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
Mawazo ya kiza, mawazo ya kipumbavu, mawazo yaliyogandamana fikra finyu yanayoakisi aina ya mtu aliyeyatoa. Hilo "katapila" lililotumika ni nyenzo tu, kuna ulazima gani kuhangaika kijima kunyanyua tani nyingi za funiko la zege wakati kuna mashine inaweza kufanya kazi hiyo effortlessly? Ukiona watu wanaanza kuzusha na kuanzisha conspiracy kwenye vitu vidogo kama hivi ujue jamii imejaa masizi ya imani za giza!