KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Team Lowasa inazidi kupukutika......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kibo10 Komba alistahili kuzikwa vile kwakuwa alikuwa na laana ya Jaji Warioba na waTanznaia wapenda mabadiliko.Ni wazi mtu ukiwa na laana kwenda mbinguni ni mwiko ndio maana wakatumia kijiko na mfuniko wa zege la ukweli ili kumzuia Komba asiende mbinguni.

Kwani mbinguni unaenda mwili?
Maana kama ni mwili tungesema yes wameudhibiti maana ulikuwa mkubwa sana
Katapilla ndo mnyama gani?View attachment 232420
Nimekaa na kutafakari kwa kina nimegundua ni dharau mbaya sana. Wote ni mashaidi na tumekuwa tukihudhuria maziko sehemu nyingi nchini. Lakini sijawahi kushuudia mfuniko wa kaburi unafunikwa na katapilla hiyo ni stail niliiona kwenye maziko ya Komba.
Narudia ile ni dharau pale kulikuwa na watu wengi tu waliokuwa na uwezo wa kunyanyua mfuniko ule na kufunika kaburi lile kwa heshima.
View attachment 232420

Walitumia catapila ili asije toka ndani ya kaburi akaleta shida kwa watanzania
Katapilla ndo mnyama gani?
CCM walifanya hujuma ule mfuniko ni zaidi ya tani 2Kwani Wagalatia mnazika au mnahifadhi !?........kaburi lina tlles !?........labda kwavile wamemhifadhi na yale macheni yake ya dhahabu ndipo wakaweka mfuniko wenye tani kadhaa ! :rip:
Walitumia catapila ili asije toka ndani ya kaburi akaleta shida kwa watanzania
..........mtu akiingia msituni kumpata ni shida !.........Kony mpaka leo anawasumbua mpaka wakubwa (Marekani) kumpata !
Nimecheka sana lakini ule mfuniko walifanya makusudi bhana
Huyu jamaaa hatabiriki mfuniko mkubwa uliwekwa makusudi bila hivyo angetoroka nakumsumbua Mzee Warioba
Sio kweli uzito wa ule mfuniko uliojazwa sment ambayo haijakauka vizuri hata wangeshika watu 100 wasingeweza kubebaa ni jambo la kawaida