RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hahahaha mkuu huo ni uzito gani ambao atuushudii tunaposhiki maziko sehemu nyingine?
Au mfuniko unawekwa kutokana na uzito wa marehemu?
Acha kutudanganya watu na akili zetu hapo makaburini kinondoni ukipita leo utakuta watu wanazika pale lakini huwezi kuona katapilla ni watu wanafunika kwa mikono yao.
huwa wanafukia kwa mikono....then kaburi linajengewa zege pale pale baada ya kufukia,ni dhahiri hili la komba mfuniko ulijengwa kabla na unavyoonekana na mzito.