Kumhamisha Mbunge Humphrey Polepole kutoka Kamati ya kudumu ya Utawala bora na Serikali za Mitaa kumelenga nini?

Sibishani na masikini, walioamua kujifariji na kuwa masikini jeuri.

Endelea kushinda huku jF.
Jifariji tu humu kila mtu anajua maisha yake halisi hivyo siangaishwi na wajinga kama wewe hunijui sikujui.
 
Support, hapa umeongea point sana tena sana. Chato kwao ilikuwa MUNGU, hivyo kusafisha kaburi la MUNGU wao ni sawa kabisa
inaonekana wewe ni KE,na Kama ni ME,basi unatabia za kike!!wanaume huwa hatuna chuki za kijinga Kama hivi !! Mtoto wa kiume ni dawa ya tumbo!!!,punguza chuki za kike!!
 
Wengi wanaomba Sukuma Gang wafukuzwe wote ili wakaunde kile Chama Cha Hapa Kazi Tu,moto uwake 2025,maana Chama Cha Gaidi sijui kama kitaweza kupambana 2025 zaidi ya kumlamba Mama amtoe Gaidi.
 
Hakuna chama kina akili nyingi kama CCM

Ngoja aje arukie chagadema akakimalizie kabisa wakome na makelele ya kila siku
 
Polepole ameshamaliza mwendo wake.
 
Yule mchumia tumbo aache mshahara wa bure wa kibunge? Never.
Tatizo unadhani kila mtu ni masikini kama wewe, kuna hakuna comment yako juu ya mada za kisiasa ambayo haujazingatia neno "Sukuma gang"

Unachotakiwa kujua ni kwamba, hakuna mtu yeyote aliyekuwa ndani ya hiyo crew mnayoiita Sukuma gang ambae bado ana njaa.Mambo mengine ni upigaji wenu wa kelele tu hapa jF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…