Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Sibishani na masikini, walioamua kujifariji na kuwa masikini jeuri.Labda akuongoze na ndugu zako.
Endelea kushinda huku jF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sibishani na masikini, walioamua kujifariji na kuwa masikini jeuri.Labda akuongoze na ndugu zako.
Lingekuwa ni la mzazi wako wa kike, nisingekubali.Wai Chatttle kafagilie kaburi la mungu wenu
Hiyo ni demotion kwake. It seems that jamaa hawamuamini tena.Sio kumhamisha tu sema kuondolewa kwenye uenyekiti wa Kamati.
Unataka nikusaidiaje sasa?Nipo chato najua vema
Jifariji tu humu kila mtu anajua maisha yake halisi hivyo siangaishwi na wajinga kama wewe hunijui sikujui.Sibishani na masikini, walioamua kujifariji na kuwa masikini jeuri.
Endelea kushinda huku jF.
Lishajiozea.Kwiiishaaaaa
Nakufahamisha kuwa corona ni hatari sana na chukua tahadhaliUnataka nikusaidiaje sasa?
Punguza hasira na ikibidi kunywa maji upoze hasiraJifariji tu humu kila mtu anajua maisha yake halisi hivyo siangaishwi na wajinga kama wewe hunijui sikujui.
inaonekana wewe ni KE,na Kama ni ME,basi unatabia za kike!!wanaume huwa hatuna chuki za kijinga Kama hivi !! Mtoto wa kiume ni dawa ya tumbo!!!,punguza chuki za kike!!Support, hapa umeongea point sana tena sana. Chato kwao ilikuwa MUNGU, hivyo kusafisha kaburi la MUNGU wao ni sawa kabisa
Sichukui tahadhari; tuone utanifanya nini.Nakufahamisha kuwa corona ni hatari sana na chukua tahadhali
Hakuna chama kina akili nyingi kama CCMKuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na serikali za mitaa na kupelekwa Kamati ya Sheria ndogo .
Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?
Nitakachofanya ni kuharakisha kutupia udongo kwenye kaburi lako.Sichukui tahadhari; tuone utanifanya nini.
Sukuma gangHakuna chama kina akili nyingi kama CCM
Ngoja aje arukie chagadema akakimalizie kabisa wakome na makelele ya kila siku
Sibishani na masikini.Jifariji tu humu kila mtu anajua maisha yake halisi hivyo siangaishwi na wajinga kama wewe hunijui sikujui.
Yule mchumia tumbo aache mshahara wa bure wa kibunge? Never.Imevuja kuwa jamaa ana mpango wa kujiunga na ACT Wazalendo. Kwahiyo hatakiwi kujua siri za kamati.
Polepole ameshamaliza mwendo wake.Kuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na serikali za mitaa na kupelekwa Kamati ya Sheria ndogo .
Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?
Kwani kuna mtu aliyekuita,msenge mkubwa.Sibishani na masikini.
Tatizo unadhani kila mtu ni masikini kama wewe, kuna hakuna comment yako juu ya mada za kisiasa ambayo haujazingatia neno "Sukuma gang"Yule mchumia tumbo aache mshahara wa bure wa kibunge? Never.
Tusubili kesho tuone mama ana jambo gani?Polepole ni wakufukuzwa ubunge kabisa, hatuachie ccm yetu mpuuzi yule, yeye ndio anafadhili kikundi Cha kuipinga serikali mtandaoni