Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 4,893
- 6,599
Wanasema kazeeka kabla ya mudaWacha bhaaanaaa yaani jamaa ni muumini wa hiyo kitu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Side effects
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema kazeeka kabla ya mudaWacha bhaaanaaa yaani jamaa ni muumini wa hiyo kitu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawashangaa sana, naona watakuwa katika wale "wanyonge" wanaonyooshwa sasa hivi.Wafiwa wana hasira vibaya sana utadhani walikubaliana na muumba kama jamaa yao aishi milele
Nikweli akawe mlinzi wa kaburi ChatttlePunguza chuki za kijinga kima wewe! Ukiona huoni cha kuchangia/kuleta hoja piga kimya!.Jf sikuizi imekua na watu wajinga wajinga sana!
Hiyo kitu inaweza kumuondoa mtu kwenye umri halisi na kumuingiza kwenye umri wa kutengenezaWanasema kazeeka kabla ya muda
Side effects
Ushampiga za shingoNikweli akawe mlinzi wa kaburi Chatttle
Usiombe kukutana na watu hao wana hasira sana .Nawashangaa sana, naona watakuwa katika wale "wanyonge" wanaonyooshwa sasa hivi.
Magu alionywa chakubanga sio mtu wao hakutaka hata kusikia subiri awaonyesha upinzani wake haswa. Huyu lazima anatakuwa na movement ndani ya chamahuyo ameondolewa kwenye uenyekiti wa kamati
Polepole ni wakufukuzwa ubunge kabisa, hatuachie ccm yetu mpuuzi yule, yeye ndio anafadhili kikundi Cha kuipinga serikali mtandaoniHuyu wangemtengua hata ubunge hana faida yoyote.
AiseeeeIlitakiwa avuliwe hata huo ubunge wenyewe halafu wangempa kazi ya kulinda na kusafisha kaburi la hayati kule Chato.
Si kweli.Corona nayo ni magonjwa mtambuka?
Walijiaminisha ataishi milele hasa pale alipojiita jiwe wakajua ni jiwe kweli.Usiombe kukutana na watu hao wana hasira sana .
Hawajui kuwa kifo kimeumbwa tu kama ilivyo kuishi.
KwiiishaaaaaWalijiaminisha ataishi milele hasa pale alipojiita jiwe wakajua ni jiwe kweli.
Wai Chatttle kafagilie kaburi la mungu wenuTatizo vidampa mnaisahau nafasi yenu hapa nchini, Polepole hata akihamishwa idara moja kwenda nyingine bado ataendela kuwa kwenye system ya kukuongoza wewe kwa namna yoyote ile, tofauti na wewe ambae mpaka unakufa utakuwa unasubiria kuamriwa uishi namna gani kwenye hii nchi.
Sioni sababu ya masikini yeyote kama wewe kushangilia hapa.
Ila inaua sanaSi kweli.
Si mungu wao.
Inawezekana yupo kulekule maana wanapeana zamu ya kuilindaWai Chatttle kafagilie kaburi la mungu wenu
Nani kakudanganya?Ila inaua sana
Nipo chato najua vemaNani kakudanganya?