neurosurgeon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 369
- 351
Kuna wazungu huko piaRaia wa viavia wamehamia Zeze Lounge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wazungu huko piaRaia wa viavia wamehamia Zeze Lounge
Nimeona kwenye facebook page yao da hatari sana wazungu wengi mno. Nikija Arusha nitatembelea huko huenda nikapata mzunguWamejaaa
Kariokee kama kawaida Alhamis
Haipo, siku hizi ni deluxe barTanzania bar pembeni ya jogoo house ipo bado?
haaa haaaaBila kusahau picnic mtu akikuita huko acha usiende
Naipata Sana, kitambo sana Mimi huko, walikua wananiita mze wa Masanga, sasa hivi nimeamia Mbezi ya kimara huku Dar, viwanja vyangu ni viwili tu Kibozone na NgaoHiyo mitaa nilikuwa napenda kwenda Village Mairo
Hii bado ipo?Masai camp kijenge