Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Hao ni wazuri kwa level yao lakini sio kwa dunia nzima mkuu.Good list mkuu but me always charity start at home, Jella Mtwaga,Sunday Manara, Aluu Ally na mafanikio ya no 9 kwenye list yako na ninamlinganisha na Jay Jay Okocha, naona mpopo huyu yupo juu sana
Hivi mpaka sasa hivi ni wachezaji wangapi wanaongoza kwa magoli duniani? Ukimtoa Pele.Wafuatao ndio wachezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani. Vigezo ni mafanikio binafsi, mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwepo timu za taifa:
1. Lionel Messi
2. Edson Pele
3. Diego Maradona
4. Christiano Ronaldo
5. Franz Beckenbauer
6. Johan Cruyff
7. Zinedine Zidane
8. Ronaldo De Lima
9. Ronaldinho Gaucho
10. Michael Platin
Mpaka sasa list ipo hivi:Hivi mpaka sasa hivi ni wachezaji wangapi wanaongoza kwa magoli duniani? Ukimtoa Pele.
Hakuna mtu anayeweza kupinga uwezo wa Pele kwenye soka na ndio maana yupo namba mbili.Vyovyote iwavyo ila hakuna kama PELE.
kwenye kujilinda yupo vizuri kushambulia ndo usiseme ana dribling, skills, stamina ball control na nguvu.
anafunga kila aina ya magoli iwe tiktak, acrobatic,rabona mashuti ya mbali vilevile kwa freekick, penalt, kichwa hadi mkono.
Kijana wa miaka 18 tena mweusi kwenye miaka ya 50 kipindi ambacho ubaguzi ilikuwa jambo la kawaida lakini kutokana na uwezo wake aliitwa kwenye timu ya Taifa huku akiwa mchezaji tegemezi kwenye timu pamoja na umri wake mdogo hakuwaangusha WABRAZIL kwa kuwapa taji la kwanza la kombe la dunia yeye akifunga magoli mawili kwenye fainali.
Katika zama ambazo mwamuzi kutoa faulo hadi mtu atolewe jino kwa teke au damu itoke puani na ili mtu apate kadi nyekundu hadi amvunje mtu mguu,. kwa kifupi kandanda ilikuwa kama rugby lakini kijana alifunga goli 700+.
NB: Haya tunayoyaona kwenye video fupifupi ni 1/20 ya mambo aliyoyafanya kwenye kandanda.
HAKUNA KAMA EDSON ARANTES DO NASCIMENTO (PELE)
Hakuna mtu anayeweza kupinga uwezo wa Pele kwenye soka na ndio maana yupo namba mbili.
Mpira haukuwa na sheria kali enzi hizo japo sio mbaya kama ulivyodokeza. Na ukweli ni kwamba ni vigumu kufanikiwa kwenye mazingira ya sheria kali na nyingi kuliko inapokuwa free style.
Have a respect to pele Bro!!,Pele hapaswi kuwa namba mbili huyo ni namba moja,alikuwa ana kila kitu katika soka mamb aliyoyafanya Ronaldinho haya ya kupiga kanzu watu kumi Pele alishayafanya kitambi sana,Pele mmoja alikuwa na chembechembe za Ronaldinho+Messi+Cristiano Ronaldo+Zidane,magoli ya Rabona na Acrobatic kafunga sana haya...na ana kila kitu katika mafanikio ambavyo hata messi hanaHakuna mtu anayeweza kupinga uwezo wa Pele kwenye soka na ndio maana yupo namba mbili.
Mpira haukuwa na sheria kali enzi hizo japo sio mbaya kama ulivyodokeza. Na ukweli ni kwamba ni vigumu kufanikiwa kwenye mazingira ya sheria kali na nyingi kuliko inapokuwa free style.
Pele kwenye kutafuta mwanasoka bora wa karne ya 20 alibebwa na FIFA pamoja na IFFHS baada ya kuona anazidiwa na Maradona wakabadilisha polling style na ikabidi wawape wote wawili.Have a respect to pele Bro!!,Pele hapaswi kuwa namba mbili huyo ni namba moja,alikuwa ana kila kitu katika soka mamb aliyoyafanya Ronaldinho haya ya kupiga kanzu watu kumi Pele alishayafanya kitambi sana,Pele mmoja alikuwa na chembechembe za Ronaldinho+Messi+Cristiano Ronaldo+Zidane,magoli ya Rabona na Acrobatic kafunga sana haya...na ana kila kitu katika mafanikio ambavyo hata messi hana
Tumtoe Messi na Ronaldo tuwaweke Mario Gotze na Giroud kwa kuwa wana medali za kombe la dunia? Shule mlienda kusomea ujingaKama mchezaji hana kombe la dunia mtoe hapo
Am sign out
Jibu zuri sana.Tumtoe Messi na Ronaldo tuwaweke Mario Gotze na Giroud kwa kuwa wana medali za kombe la dunia? Shule mlienda kusomea ujinga
Wafuatao ndio wachezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani. Vigezo ni mafanikio binafsi, mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwepo timu za taifa:
1. Lionel Messi
2. Edson Pele
3. Diego Maradona
4. Christiano Ronaldo
5. Franz Beckenbauer
6. Johan Cruyff
7. Zinedine Zidane
8. Ronaldo De Lima
9. Ronaldinho Gaucho
10. Michael Platin
Mpaka sasa list ipo hivi:
Christiano Ronaldo 815
Lionel Messi 773
Edson Pele 762
Romario 755
Ferenc Puskas 729
*Pele huwa anaweka goli za kitaani na mechi za kirafiki ndio maana wanasema anafikisha 1300+ lakini goli za mashindano ndio hizo hapo.
Vyovyote iwavyo ila hakuna kama PELE.
kwenye kujilinda yupo vizuri kushambulia ndo usiseme ana dribling, skills, stamina ball control na nguvu.
anafunga kila aina ya magoli iwe tiktak, acrobatic,rabona mashuti ya mbali vilevile kwa freekick, penalt, kichwa hadi mkono.
Kijana wa miaka 18 tena mweusi kwenye miaka ya 50 kipindi ambacho ubaguzi ilikuwa jambo la kawaida lakini kutokana na uwezo wake aliitwa kwenye timu ya Taifa huku akiwa mchezaji tegemezi kwenye timu pamoja na umri wake mdogo hakuwaangusha WABRAZIL kwa kuwapa taji la kwanza la kombe la dunia yeye akifunga magoli mawili kwenye fainali.
Katika zama ambazo mwamuzi kutoa faulo hadi mtu atolewe jino kwa teke au damu itoke puani na ili mtu apate kadi nyekundu hadi amvunje mtu mguu,. kwa kifupi kandanda ilikuwa kama rugby lakini kijana alifunga goli 700+.
NB: Haya tunayoyaona kwenye video fupifupi ni 1/20 ya mambo aliyoyafanya kwenye kandanda.
HAKUNA KAMA EDSON ARANTES DO NASCIMENTO (PELE)
Haya tunayoyaona kwenye video fupifupi ni 1/20 ya mambo aliyoyafanya kwenye kandanda.
Hakuna mtu anayeweza kupinga uwezo wa Pele kwenye soka na ndio maana yupo namba mbili.
Mpira haukuwa na sheria kali enzi hizo japo sio mbaya kama ulivyodokeza. Na ukweli ni kwamba ni vigumu kufanikiwa kwenye mazingira ya sheria kali na nyingi kuliko inapokuwa free style.
Kweli kabisa mpira kipindi hicho haukuwa na sheria kali PELE alikuwa anapigwa mitama, ngumi vichwa na wakati mwingine kukumbatiwa kabisa ila refa hatoi kadi wala faulo .
achana na hawa mandezi wa sasa mtu anaguswa kidogo tu ila anaruka kama amepigwa bomu na mwamuzi anatoa kadi na pigo huru/penalt yani hawa vilaza laiti wangecheza enzi za kibabe za PELE hata goli 50 wasingefikisha.
NB: HAKUNA KAMA PELE.
Have a respect to pele Bro!!,Pele hapaswi kuwa namba mbili huyo ni namba moja,alikuwa ana kila kitu katika soka mamb aliyoyafanya Ronaldinho haya ya kupiga kanzu watu kumi Pele alishayafanya kitambi sana,Pele mmoja alikuwa na chembechembe za Ronaldinho+Messi+Cristiano Ronaldo+Zidane,magoli ya Rabona na Acrobatic kafunga sana haya...na ana kila kitu katika mafanikio ambavyo hata messi hana