Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Pele kwenye kutafuta mwanasoka bora wa karne ya 20 alibebwa na FIFA pamoja na IFFHS baada ya kuona anazidiwa na Maradona wakabadilisha polling style na ikabidi wawape wote wawili.
Alikuwa mzuri sana lakini sio kwa kumzidi Messi. Huyu ndio hasa mfalme wa soka hapa duniani.
Jibu zuri sana mkuu, ilinisikitisha sana hiyo ya pele kubebwa na fifa 😔 Diego alikua mashine bwana, huyo pele ni mchezaji mzuri ila hajafikia uwezo wa Maradona na Messi💪🏽 hawa viumbe waheshimiwe sana, ndio maana mpaka leo NAPOLI hawatoi jezi namba 10 iliyo achwa na Mwamba Maradona, na uwanja wao wameupa jina la Maradona, huyu mshkaji hawatamsahau maisha yao. Kwa Messi pia Barcelona walipaswa kuheshimu na kutoitoa namba10 kwa mwingine.