Kumi bora ya wacheza mpira wa miguu kuwahi kutokea hapa duniani mpaka sasa


Jibu zuri sana mkuu, ilinisikitisha sana hiyo ya pele kubebwa na fifa 😔 Diego alikua mashine bwana, huyo pele ni mchezaji mzuri ila hajafikia uwezo wa Maradona na Messi💪🏽 hawa viumbe waheshimiwe sana, ndio maana mpaka leo NAPOLI hawatoi jezi namba 10 iliyo achwa na Mwamba Maradona, na uwanja wao wameupa jina la Maradona, huyu mshkaji hawatamsahau maisha yao. Kwa Messi pia Barcelona walipaswa kuheshimu na kutoitoa namba10 kwa mwingine.
 
Vipaji vya ajabu kabisa kwenye kandanda la kidunia
1. Messi
2.Okocha
3.Gaucho
4.Zizzou
5.Denilson
6.Maradona
7.Iniesta
8. Haghi
9.Valderama
10.Mandieta
 
List yako JJ OKOCHA man from Africa hakutakiwa kukosa
 
hata kwa mapenzi yaliyopitiliza Messi hawezi kuwazidi PELE&MARADONA
 
Hakuna kitu anachofanya Messi wakati huu Pele hajafanya.
 
 
Jay Jay Okocha?
 
NO EUSEBIO
NO MULLER
NO BOB CHARLTON
NO BUFFON
NO ROMARIO
NO ETC

HEBU CHIMVUA CHIMBUA KWANZA KUBUKUMBU. KUNA MADUDE UMEYAACHA HUKO.
 
Ngazi ya club pele alifanya nn , nikumbushe tuu mkuu
Ana magoli mengi pale Santos fc Brazil kuliko kiumbe yeyote pia aliisaidia Club kutwa mataji kibao.
Pia Pele hakucheza Ulaya alicheza kwao tu
 
kweli kabisa pele alizungukwa na wachezaji wazuri sio kama messi ambaye barca alizungukwa na vilaza kama Puyol,D.Alves,Pique, Ronaldinho, Xavi ,Iniesta, Henry, Etoo, Ibrahimovic, Neymar,Fabrigas, Suarez ,Sanchez, na David villa huku argentina akiwa na mazezeta kama Mascherano, Aguero, Icardi, Di Maria, Dyabala na Tevez.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…