Kumi bora ya waimbaji asilia wa muziki wa bongo fleva kuwahi kutokea Tanzania

Kumi bora ya waimbaji asilia wa muziki wa bongo fleva kuwahi kutokea Tanzania

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Vigezo vilivyotumika:

1. Muziki wenye ujumbe maridhawa
2. Nyimbo zenye uhalisia wa maisha ya Tanzania
3. Mashairi yanayochochea fikra za kimapinduzi
4. Ubora wa kazi zenyewe
5. Muziki unaoishi beyond maisha ya waimbaji

1. Profesa J
2. Dully Sykes
3. AY
4. Mwana FA
5. Lady Jaydee
6. TID
7. Fid Q
8. Afande Sele
9. Mr II
10. Juma Nature

Malejendari ambao wanastahili mention ingawa hawakuingia:

Ray C, Jay Moe, Inspector Haroun, Mike Tee, Mr Nice, Mr Ebbo, Dudu Baya, Mangwea, GK, Soggy, Chidi, Joh Makini, Feruzi, Banana Zorro, Bushoke, Mandojo & Domokaya, Wagosi wa Kaya, Solo Thang, Mr Blue, MB Dog, Roma Mkatoliki, Mrisho Mpoto, Kala Jeremiah
 
Hii chuki dhidi ya waliofanikiwa inabidi itunguwe Sheria yake iwe kosa la jinai
Hana nyimbo zenye mafunzo.Zinawafaa vijana mnaopenda kucheza huku mmelewa wanzuki.Mkielezwa ukweli akili zenu zinawaongoza kwamba mnachukiwa.Uimbe mambo yasiyoeleweka na matusi ndani usiambiwe?Kwa nini asisemwe Prof J,Sele,Jide au wengine?😂😂😂😂
 
Hao wanaimba mapenzi, hawawezi kuingia hapo.
Umejaza waimba upupu kibao waliondekeza nyimbo za kujisifia kufanya starehe,kuvuta bangi,kusifia ngono na ulevi.In short umeorodhesha waimba Bongo Flavor zilipendwa na hakuna kingine.
 
Vigezo vilivyotumika:

1. Muziki wenye ujumbe maridhawa
2. Nyimbo zenye uhalisia wa maisha ya Tanzania
3. Mashairi yanayochochea fikra za kimapinduzi
4. Ubora wa kazi zenyewe
5. Muziki unaoishi beyond maisha ya waimbaji

1. Profesa J
2. Dully Sykes
3. AY
4. Mwana FA
5. Lady Jaydee
6. TID
7. Fid Q
8. Afande Sele
9. Mr II
10. Juma Nature

Malejendari ambao wanastahili mention ingawa hawakuingia:

Ray C, Jay Moe, Inspector Haroun, Mike Tee, Mr Nice, Mr Ebbo, Dudu Baya, Mangwea, GK, Soggy, Chidi, Joh Makini, Feruzi, Banana Zorro, Bushoke, Mandojo & Domokaya, Wagosi wa Kaya, Solo Thang, Mr Blue, MB Dog
Nikki mbishi hayupo? Pole
 
Back
Top Bottom