yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Kala jeremiah mbona hayupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda macho yako yamepata matatizo ndio maana huoni.Nilivyoona Ngwair hayupo nikaacha kusoma
Oops, alisahaulika.Kala jeremiah mbona hayupo
Kweli kabisa, watakumbukwa miaka mingi sana.Hapo Juu ndo watu wameacha Legacy katika muziki wa Tanzania na nyimbo zao zitaishi ya miongo semanini Mbele.