Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Hao wanaimba mapenzi, hawawezi kuingia hapo.Kweli Diamond platnumz hayupo au kutakuwa na Tanzania nyingine
Kwa jinsi anavyochukua na kuweka,waaaah!?Au mengine?Kweli Diamond platnumz hayupo au kutakuwa na Tanzania nyingine
Huyo ataingia class ya hao wakongwe?Twenty percent?
Hao ndio waliimba mziki wenye maana kiasi chake.mm naona umewataja wasanii wa zaman
Kwenye list Ongeza huyu msanii Mb Dog2. Nyimbo zenye uhalisia wa maisha ya Tanzania
3. Mashairi yanayochochea fikra za kimapinduzi
Hii chuki dhidi ya waliofanikiwa inabidi itunguwe Sheria yake iwe kosa la jinaiKwa jinsi anavyochukua na kuweka,waaaah!?Au mengine?
Hana nyimbo zenye mafunzo.Zinawafaa vijana mnaopenda kucheza huku mmelewa wanzuki.Mkielezwa ukweli akili zenu zinawaongoza kwamba mnachukiwa.Uimbe mambo yasiyoeleweka na matusi ndani usiambiwe?Kwa nini asisemwe Prof J,Sele,Jide au wengine?ππππHii chuki dhidi ya waliofanikiwa inabidi itunguwe Sheria yake iwe kosa la jinai
Umejaza waimba upupu kibao waliondekeza nyimbo za kujisifia kufanya starehe,kuvuta bangi,kusifia ngono na ulevi.In short umeorodhesha waimba Bongo Flavor zilipendwa na hakuna kingine.Hao wanaimba mapenzi, hawawezi kuingia hapo.
Exactly.Hii chuki dhidi ya waliofanikiwa inabidi itunguwe Sheria yake iwe kosa la jinai
Nikki mbishi hayupo? PoleVigezo vilivyotumika:
1. Muziki wenye ujumbe maridhawa
2. Nyimbo zenye uhalisia wa maisha ya Tanzania
3. Mashairi yanayochochea fikra za kimapinduzi
4. Ubora wa kazi zenyewe
5. Muziki unaoishi beyond maisha ya waimbaji
1. Profesa J
2. Dully Sykes
3. AY
4. Mwana FA
5. Lady Jaydee
6. TID
7. Fid Q
8. Afande Sele
9. Mr II
10. Juma Nature
Malejendari ambao wanastahili mention ingawa hawakuingia:
Ray C, Jay Moe, Inspector Haroun, Mike Tee, Mr Nice, Mr Ebbo, Dudu Baya, Mangwea, GK, Soggy, Chidi, Joh Makini, Feruzi, Banana Zorro, Bushoke, Mandojo & Domokaya, Wagosi wa Kaya, Solo Thang, Mr Blue, MB Dog