Kumi bora ya waimbaji asilia wa muziki wa bongo fleva kuwahi kutokea Tanzania

Umejaza waimba upupu kibao waliondekeza nyimbo za kujisifia kufanya starehe,kuvuta bangi,kusifia ngono na ulevi.In short umeorodhesha waimba Bongo Flavor zilipendwa na hakuna kingine.
Ah ok na waimbaji wenu sahv
Kutwa wako na mchk ambao ndy wabunifu wao

Ova
 
Hao wahuni wanaoimba matusi na kuharibu vijana wakamatwe na kuwekwa kizuizini.
1. Lala salama
2. Binadamu
3. Nitarejea
4. Mabomu ya mbagala
5. Je utanipenda

Mna masikio ila mnajifanya viziwi hizi nyimbo zina ujumbe mzito sana kwenye Jamii.
 
1. Lala salama
2. Binadamu
3. Nitarejea
4. Mabomu ya mbagala
5. Je utanipenda

Mna masikio ila mnajifanya viziwi hizi nyimbo zina ujumbe mzito sana kwenye Jamii.
Zenye ujumbe zinahesabika kwa tabu sana. Nyingi ni uharibifu mtupu.
 
Hamonaiza
 
20% alikufanyia kibaya gan ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…