Hiyo top Ten inabidi ianze hivi
01 Father Nelly .RIP
02 Sugu Mr ii Jongwe Taita, Hustler Former Mp
03 Prof Jay au heavyweight Mc Get well soon
04 Ferooz , Mzee wa starehe matatani
05 Mwana FA ...mjukuu wa Shaban Robert..
Hapo Juu ndo watu wameacha Legacy katika muziki wa Tanzania na nyimbo zao zitaishi ya miongo semanini Mbele.