Kumi bora za wanaJF walioleta threads nzuri 2022

Kumi bora za wanaJF walioleta threads nzuri 2022

Bila UMUGHAKA hiyo list ni batili kwa upande na mtazamo wangu mimi. Ukimtoa baba J bwana deep pond na Cocastic waliobaki hata sijui thread zao so sibishi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mshana ,hakuna umughaka ... hapana huwez kuwa serious wewe
Hao uliowataja wako vizuri ila kura zao hazikutosha kuingia kumi bora... hata hao waliongia kumi bora hatusemi wao wameshinda bali ni JamiiForums imeshinda.
 
Back
Top Bottom