MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #41
Hapana. Huyo Mshana kura zake hazikutosha.mtoe MamaSamia2025 hapo muweke Mshana Jr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Huyo Mshana kura zake hazikutosha.mtoe MamaSamia2025 hapo muweke Mshana Jr
Karoho kanakuuma hapo we ajuzaWanastahili
Without you in there the list is null and void.Wanastahili
Namba 2 hapo akae Joanah itakuwa makini zaidiKwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022;
1. Pascal Mayalla
2. MamaSamia2025
3. Etwege
4. johnthebaptist
5. GENTAMYCINE
6. smarte_r
7. cocastic
8. Erythrocyte
9. DeepPond
10. Mmawia
Nakazia.mtoe MamaSamia2025 hapo muweke Mshana Jr
Sina imani na kamati iliyosimamia mchakato 😂Huyo Joannah Kura zake hazikutosha
Angejitoa hapo kwa kweliYaani unajisifia mwenyewe na mauzi yako yale ya kujipendekeza kusifu na kuabudu na kulamba watu miguu?
Duh....Mzee wa Kino wewe utapata tuzo ya mchangiaji bora kwenye nyuzi zinazohusu mambo ya town.
Ngoja na siye tuache uvivu sasa tuanze kuandika nyuzi humu
Ova
za ccm tupuweka na nyuzi zao
Hakuna mshana ,hakuna umughaka ... hapana huwez kuwa serious weweKwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022;
1. Pascal Mayalla
2. MamaSamia2025
3. Etwege
4. johnthebaptist
5. GENTAMYCINE
6. smarte_r
7. cocastic
8. Erythrocyte
9. DeepPond
10. Mmawia
Hao uliowataja wako vizuri ila kura zao hazikutosha kuingia kumi bora... hata hao waliongia kumi bora hatusemi wao wameshinda bali ni JamiiForums imeshinda.Hakuna mshana ,hakuna umughaka ... hapana huwez kuwa serious wewe
Namba 7 tumepigwa. Wapi Mshana Jr mpwayungu village Bujibuji Simba NyamaumeKwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022;
1. Pascal Mayalla
2. MamaSamia2025
3. Etwege
4. johnthebaptist
5. GENTAMYCINE
6. smarte_r
7. cocastic
8. Erythrocyte
9. DeepPond
10. Mmawia