Kumiliki gari ni matatizo matupu

Nunua gari lenye hali nzuri, utakaa 4...6yrs bila usumbufu wa kijinga, them uza nunua lingine maisha yanaenda.

Sasa tunaopiga mihuri kwenda kazini na kurudi mnatushauri vipi wakuu. Daladala zinachosha sana mjue.
At least nunua pikipiki aisee utafurahia japo inachangamoto zake Ila magari noma
 
Ukitaka mademu..mbona simpo tu unapanda daladala hata siku tatu unakusanya namba kisha unaanza kuwazungukia na kigari chako.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sasa kumbe hata gari hauna ....! Sasa hapa nitakupruvu vipi bro
 
Sahii kabisa, uyu kipato chake hakiruhusu asitafute excuse TU[emoji4]
Narudia Tena Kama unagari lenye thamani ya chini ya 20milion wewe hupati Raha na Hilo gari zaidi ya presha na upweke
 
Ukitaka kuona umuhimu wa gari mvua iwe inanyesha dsm


NB: Kwasasa gari ni hitaji muhimu sana kama unauwezo na si anasa tena kama akili za wengi zilivyo
 
Ukinunua gari mbovu ndiyo utakutana na stress...

Ila hilo la kujitenga na jamii kuna asilimia za ukweli...
Cycle yako ya marafiki inakua ndogo sana...
Hapo ndio huwa nawashangaa vijana wa humu wanavyo ambizana wanunue magari ili wachakate mbususu ...hawajui machungu ya kumiliki gari
 
Kuna siku utanielewa huenda ndio umetoka yard saizi.
 
Kwa akili hizi ni dhahiri una msongo wa mawazo ,na hauna hela ya kununua gari ila unakimbilia defency mechanism ,gari kwa sasa ni hitaji la msingi sana ,kwa akili km zako unaweza usione umuhimu wengine gari linatusaidia kupeleka wazazi wetu cliniki ya dialysis kila week ,inatusaidia kujikwamua kiuchumi ushaurinwangu unapovuta Bangi jitahidi uwe unatoa mbegu

sent from HUAWEI
 
At least nunua pikipiki aisee utafurahia japo inachangamoto zake Ila magari noma
Nunua chombo ambacho una uwezo nacho, iwe pikipiki au gari...wewe nunua unachoweza kugharamia. Kama una uwezo wa IST kwa nini ununue Kluger? Lazima utaumia...
 
Hata Mimi ushauri wangu kwako sio kila familia inamgonjwa wa dizaini hizo.

Alafu sio kila familia ni wavivu na mabonge nyanya Kama yenu watu milenda milenda.

Wengine miili yetu ni ya mazoezi na imara kutokana na familia tulizo tokea.

Mimi ni yule mwamba ambae ukiweka mahindi ya kuchemshwa na piza nitakimbilia mahindi. Au ukiweka glass ya Hennessy na kopo la maji nitakimbilia kopo la maji.

Na ukiweka safari ya ndani ya nusu saa option ikiwa ni kwa mguu ama gari Basi nitafanya kwa mguu.

Halafu ili waseme unagari unatakiwa uwe na magari mangapi......?
 
Ukiona aina ya coment zenye likes nyingi kwenye huu uzi utagundua hali ya uchumi wa watanzania wengi ni mbaya sana
 
Duh nimecheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…