Magar yanakera ma.maee
Eti gari la kukubeba wewe tu na kujisukuma lenyew mara linachemsha mara sjui linakuwa zito ma.maee
Unalitengeneza kwa gharama,hata mwez halimaliz linazingua tena mpaka mke anaanza kuuliza,vp baba hili gari si umetoa hela nying tu mwez uliopita na ukasema sahv limepona kulikon tena.
Familia unaibadilishia msosi wanaanza kula chakula cha kawaida,gari linaharibu bajet ya msosi mpaka watoto wanaanza kususa msosi
Ili majiran wasijue una miliki mkweche,likizingua unaamua kuwa unalivuta asubuh na mapema usiku usiku unalipeleka gereji
Hakika gari usinunue kama una hela za mawazo,ni hv kama kipato chako kipo chini ya mil 1 kwa mwez usinunue gari