Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

sehemu "moja wapo"! kati.
Mojawapo ndicho kiswahili sahihi.
 
Umenikumbusha bhna kuna kipind Pepsi na coca cola kulikuwa na mnyukano sana hadi ikafikia hatua ya opponent kuingiza sababu ya kiafya kwamba ukitumia soda fulani kuna ya kiafya unaweza kuyaPata, mara ishu za mende kwenye soda ofcoz it was a tough game mzee

Kuna Ata hii ya mtu ana Anzisha media anaenda anaiba wafanyakazi kwa mwenzie
 
Pesa za kuspend 5M per day,unazungumzia $2000/day?,
Unaakili kweli wewe?
Hio pesa hata high paying jobs za U.S hawalipi.
Nazungumzia 97% ya raia wa U.S hawawezi ishi hizo fantasy zako
 
Nchi ya mafisadi ni ngumu kufanikiwa bila kujipendekeza kwa watawala. Ndio maana hata Mo alivyo takwa mpaka leo hajasema walio mteka wala kuelezea walicho mfanyia. Pamoja mabela yake yote huwezi kumsikia akikosowa serikali ya ccm.
 
Sasa angalau hizo ambazo zinaonekana unao uwezo wa kukabiliana nazo ila usiombe ukutane na vita za kiroho, hautoboi😂😂😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…