Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day

Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi

1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna kipaji
3.biashara haramu,
4.uchawi

Bila hivi sahau range rover, sahau V8🥶

👉Muhimu usijeona maisha ya wengine ukadhani wewe umetengwa na dunia.

👉Hesabu Yale mazuri Mungu aliyokupa, usihesabu mapungufu ama Kasoro ulizonazo

Jikubali
sehemu "moja wapo"! kati.
Mojawapo ndicho kiswahili sahihi.
 
Kila kitu ni mchakato mkuu, ushindani upo Kila pahala na kwenye ushindani huu wa kwenye biashara wote tunapambania kitu kimoja kwa maana ya fedha, na kwenye mapambano Kila mtu anapambana kwa kutumia silaha yake anayoijua yeye.

Na kwenye vita hivi ni wewe mwenyewe kuamua tu, ya kwamba uingie front upigane live live bila chenga, au ujifiche sehemu uwe unapigana kwa kuvizia au ukae tu ubaki kuwa mpenzi mtazaji kwa wale wapambanaji.

Kwahiyo uwezo wa kupata hiyo million mia kwenye viazi upo kwa maana kwanza viazi ni kitu kinachoigusa jamii yote kwahiyo kinacho huo ukubwa na si kitu ambacho kinahitaji nguvu kubwa kwenye kufanya scaling.

But haiwezi kuwa rahisi kama nnavyoandika hapa coz vita zipo kwa maana ndani yake unakutana na watu ambao wanafanya hiyo biz na wengi hawapendi kuingiliwa kwenye biashara kwahiyo watafanya juu chini kukuzuia (ukiritimba) but ukishajua uko na maadui lazima utajua namna ya kujilinda na kuchanga karata zako vizuri ili uweze kuwabonda😅.

All in all haupaswi kuwa serious sana na hivi vitu ila fanya kama unacheza game then enjoy the process.
Umenikumbusha bhna kuna kipind Pepsi na coca cola kulikuwa na mnyukano sana hadi ikafikia hatua ya opponent kuingiza sababu ya kiafya kwamba ukitumia soda fulani kuna ya kiafya unaweza kuyaPata, mara ishu za mende kwenye soda ofcoz it was a tough game mzee

Kuna Ata hii ya mtu ana Anzisha media anaenda anaiba wafanyakazi kwa mwenzie
 
Acha ujuaji kijana, elimu sahihi huanzia shule ya chekechea.
1000040308.jpg
 
Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day

Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi

1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna kipaji
3.biashara haramu,
4.uchawi

Bila hivi sahau range rover, sahau V8🥶

👉Muhimu usijeona maisha ya wengine ukadhani wewe umetengwa na dunia.

👉Hesabu Yale mazuri Mungu aliyokupa, usihesabu mapungufu ama Kasoro ulizonazo

Jikubali
Pesa za kuspend 5M per day,unazungumzia $2000/day?,
Unaakili kweli wewe?
Hio pesa hata high paying jobs za U.S hawalipi.
Nazungumzia 97% ya raia wa U.S hawawezi ishi hizo fantasy zako
 
Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day

Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi

1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna kipaji
3.biashara haramu,
4.uchawi

Bila hivi sahau range rover, sahau V8🥶

👉Muhimu usijeona maisha ya wengine ukadhani wewe umetengwa na dunia.

👉Hesabu Yale mazuri Mungu aliyokupa, usihesabu mapungufu ama Kasoro ulizonazo

Jikubali
Nchi ya mafisadi ni ngumu kufanikiwa bila kujipendekeza kwa watawala. Ndio maana hata Mo alivyo takwa mpaka leo hajasema walio mteka wala kuelezea walicho mfanyia. Pamoja mabela yake yote huwezi kumsikia akikosowa serikali ya ccm.
 
Umenikumbusha bhna kuna kipind Pepsi na coca cola kulikuwa na mnyukano sana hadi ikafikia hatua ya opponent kuingiza sababu ya kiafya kwamba ukitumia soda fulani kuna ya kiafya unaweza kuyaPata, mara ishu za mende kwenye soda ofcoz it was a tough game mzee

Kuna Ata hii ya mtu ana Anzisha media anaenda anaiba wafanyakazi kwa mwenzie
Sasa angalau hizo ambazo zinaonekana unao uwezo wa kukabiliana nazo ila usiombe ukutane na vita za kiroho, hautoboi😂😂😂.
 
Back
Top Bottom