Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Hili suala la kutaka binadamu awe ameumbwa, Halafu mkiulizwa huyo Mungu kaumbwa na nani hamjui. Ni swali lisilokuwa na mantiki.Kwahyo mwanangu wewe ulijiumba siyo mkuu
Binadamu hawaumbwi na wala hatukuumbwa.
Binadamu Wanazaliwa.