Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa za kuspend 5M per day,unazungumzia $2000/day?,
Unaakili kweli wewe?
Hio pesa hata high paying jobs za U.S hawalipi.
Nazungumzia 97% ya raia wa U.S hawawezi ishi hizo fantasy zako
nani hapa bongo ana tumia laki 6 kulisha mbwa per day??Hapa Tanzania mtu anatengeneza faida milion 30 kwa siku akitumia 5M kuna ubaya gani wewe unaona hiyo hela ni kubwa kuna mtu tu anatumia laki Sita kulisha mbwa watatu nyumbani kwake, plus vaccines humo humo, mafuta ya gari full lita 40 price 100k Na zaidi hamjala hapo nyumbani Kila kitu ni supermarket za hadhi, bado hujalipa workers ambao sio permanent pale nyumbani Kila sku, bado una wapambe kibao wa kukutaftia habari mbali mbali mtaani unawalipa per day, hujakutana na watu njiani wanagomba msaada simu ni nyingi lazima utoe
hayo ndo matumizi ynyw Sasa
Ukiwa uliza watu wenye nazo mara nyingi iko vipengele ni vingi,
Ukiwa na pesa lazima utakuwa na team kubwa ya watu, na ndivo pesa inatumika
Sasa angalau hizo ambazo zinaonekana unao uwezo wa kukabiliana nazo ila usiombe ukutane na vita za kiroho, hautoboi😂😂😂.
Kuna mahali mitaa ninayoishi kuna mzungu anaheka 20 anafuga kondoo, Ana mbwa pia hiyo hela anatumia kawaida yeye ni mchimbaji wa madininani hapa bongo ana tumia laki 6 kulisha mbwa per day??
Duuh. Eti umesoma shule gani ? Ufala. Wapi ? Shinyanga. Nchi gani ? Tanzania.
Hauelewi nini sasa mkuu! Hii ni Africa so tunanamna yetu ya kupigana kwenye hizi vita za kupambania kombe.Nakumbuka 13 years ago ndugu yangu mmoja alifungua duka la takataka akawa anapiga mia mauzo plus faida 60k Kila siku alikimbiza sana miezi ya mwanzo wateja kibao, siku zilivozidi kwenda mauzo yakaanza kushuka kutoka laki mpka 60 elfu, faida 20 elfu ya katoka 60 elfu mpaka 30 faida 10k yakaja 5k faida 500 kwa siku hapo unakuta umeuza wateja wawili siku nzima
Mpaka Leo sijawahi
kuelewa ni kwanini ilikua vile
Sawa mwalimu wa Kiswahili toka shule ya msingi UFALA
Acha ujuaji kijana, elimu sahihi huanzia shule ya chekechea.
Dah oya wajumbe mme nichekesha Sana😆😂😂
Labda chief godlove😏nani hapa bongo ana tumia laki 6 kulisha mbwa per day??
Mbwa mwenyewe kashiba mkia tu😆😂Labda chief godlove😏View attachment 3201077
kwa mfano mbwa za ikulu zinatumia mshahara daktari bingwa per day 🤣take home kama 2.5M Baada ya Makato yoteHapa bongo kuna mbwa wanakula mshahara wa mtu kwa siku.
Nilitengenezwa kutokana na fusion ya ovam na sperm za wazazi wanguKwahyo mwanangu wewe ulijiumba siyo mkuu
Maandiko yanasema malaika Gabriel akamtokea bikra Maria akamwambia "salamu Maria umejaa neema na yesu mzawa wa tumbo lako amebarikiwa"Nilitengenezwa kutokana na fusion ya ovam na sperm za wazazi wangu
Una uhakika gani wa hiyo fiction story za huo uumbaji wa YESU? Israel wenyewe hawasadiki hiyo kitu sisi weusi ndo tumeishikia bango mpaka tumekuwa kama misukule wa YESU ambae ni babu wa wazunguMaandiko yanasema malaika Gabriel akamtokea bikra Maria akamwambia "salamu Maria umejaa neema na yesu mzawa wa tumbo lako amebarikiwa"
Ipo sana hiyo,aminiUchawi toa hiyo ni sababu ya watu wajinga jinga
Huko kidimbwi, warehouse sijui wapi,pombe chupa moja milioni,inaletwa na malaya wenye chupi na sidiria tu,utakunywa ngapi utosheke?Ana sema asilo lijua, pengine story za vijiweni.
MBS hatumii 5m kwa siku mkuu?Pesa ya ju spend 5 milli9n per day unazifanyia nini? Una uraibu wa kucheza kamali?
Kwa mtu wa kawaida anayeishi mIji ya gharama kabisa duniani kama Hong Kong, China, Singapore, Geneva Switzerland, Tokyo Japan, New Yoek City, USA, London UK, Los Angeles, USA, kote huko bado hakujafikia maisha ya gharama hiyo.
Sasa shilingi milioni 5 kwa siku Tanzania unaendesha familia au timu ya soka?