Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

duhhh kwahyo na wajapan na waingereza wanaotengeneza hayo ma v8 na range Rover wao wapo side gan mkuu?
 
Hapa Tanzania mtu anatengeneza faida milion 30 kwa siku akitumia 5M kuna ubaya gani wewe unaona hiyo hela ni kubwa kuna mtu tu anatumia laki Sita kulisha mbwa watatu nyumbani kwake, plus vaccines humo humo, mafuta ya gari full lita 40 price 100k Na zaidi hamjala hapo nyumbani Kila kitu ni supermarket za hadhi, bado hujalipa workers ambao sio permanent pale nyumbani Kila sku, bado una wapambe kibao wa kukutaftia habari mbali mbali mtaani unawalipa per day, hujakutana na watu njiani wanagomba msaada simu ni nyingi lazima utoe
hayo ndo matumizi ynyw Sasa

Ukiwa uliza watu wenye nazo mara nyingi iko vipengele ni vingi,
Ukiwa na pesa lazima utakuwa na team kubwa ya watu, na ndivo pesa inatumika
Pesa za kuspend 5M per day,unazungumzia $2000/day?,
Unaakili kweli wewe?
Hio pesa hata high paying jobs za U.S hawalipi.
Nazungumzia 97% ya raia wa U.S hawawezi ishi hizo fantasy zako
 
Hapa Tanzania mtu anatengeneza faida milion 30 kwa siku akitumia 5M kuna ubaya gani wewe unaona hiyo hela ni kubwa kuna mtu tu anatumia laki Sita kulisha mbwa watatu nyumbani kwake, plus vaccines humo humo, mafuta ya gari full lita 40 price 100k Na zaidi hamjala hapo nyumbani Kila kitu ni supermarket za hadhi, bado hujalipa workers ambao sio permanent pale nyumbani Kila sku, bado una wapambe kibao wa kukutaftia habari mbali mbali mtaani unawalipa per day, hujakutana na watu njiani wanagomba msaada simu ni nyingi lazima utoe
hayo ndo matumizi ynyw Sasa

Ukiwa uliza watu wenye nazo mara nyingi iko vipengele ni vingi,
Ukiwa na pesa lazima utakuwa na team kubwa ya watu, na ndivo pesa inatumika
nani hapa bongo ana tumia laki 6 kulisha mbwa per day??
 
Nakumbuka 13 years ago ndugu yangu mmoja alifungua duka la takataka akawa anapiga mia mauzo plus faida 60k Kila siku alikimbiza sana miezi ya mwanzo wateja kibao, siku zilivozidi kwenda mauzo yakaanza kushuka kutoka laki mpka 60 elfu, faida 20 elfu ya katoka 60 elfu mpaka 30 faida 10k yakaja 5k faida 500 kwa siku hapo unakuta umeuza wateja wawili siku nzima

Mpaka Leo sijawahi
kuelewa ni kwanini ilikua vile
Sasa angalau hizo ambazo zinaonekana unao uwezo wa kukabiliana nazo ila usiombe ukutane na vita za kiroho, hautoboi😂😂😂.
 
Nakumbuka 13 years ago ndugu yangu mmoja alifungua duka la takataka akawa anapiga mia mauzo plus faida 60k Kila siku alikimbiza sana miezi ya mwanzo wateja kibao, siku zilivozidi kwenda mauzo yakaanza kushuka kutoka laki mpka 60 elfu, faida 20 elfu ya katoka 60 elfu mpaka 30 faida 10k yakaja 5k faida 500 kwa siku hapo unakuta umeuza wateja wawili siku nzima

Mpaka Leo sijawahi
kuelewa ni kwanini ilikua vile
Hauelewi nini sasa mkuu! Hii ni Africa so tunanamna yetu ya kupigana kwenye hizi vita za kupambania kombe.

Mduguyo alifungua biashara huku akiwa hajui au amejisahau ya kwamba once unapoanzisha biashara yoyote lazima ujue ya kwamba tayari umeshaingia kwenye uwanja wa vita, kwahiyo hautakiwi kurelax hata mara moja 😅😅😅.
 
nani hapa bongo ana tumia laki 6 kulisha mbwa per day??
Labda chief godlove😏
1000019524.jpg
 
Nilitengenezwa kutokana na fusion ya ovam na sperm za wazazi wangu
Maandiko yanasema malaika Gabriel akamtokea bikra Maria akamwambia "salamu Maria umejaa neema na yesu mzawa wa tumbo lako amebarikiwa"
 
Maandiko yanasema malaika Gabriel akamtokea bikra Maria akamwambia "salamu Maria umejaa neema na yesu mzawa wa tumbo lako amebarikiwa"
Una uhakika gani wa hiyo fiction story za huo uumbaji wa YESU? Israel wenyewe hawasadiki hiyo kitu sisi weusi ndo tumeishikia bango mpaka tumekuwa kama misukule wa YESU ambae ni babu wa wazungu
 
Ungana na akina Boni Yai, Yericko, Ntobi na MMM kwenye uchawa wa Sultan Mbowe, ufurahie maisha wewe.
 
Pesa ya ju spend 5 milli9n per day unazifanyia nini? Una uraibu wa kucheza kamali?

Kwa mtu wa kawaida anayeishi mIji ya gharama kabisa duniani kama Hong Kong, China, Singapore, Geneva Switzerland, Tokyo Japan, New Yoek City, USA, London UK, Los Angeles, USA, kote huko bado hakujafikia maisha ya gharama hiyo.

Sasa shilingi milioni 5 kwa siku Tanzania unaendesha familia au timu ya soka?
MBS hatumii 5m kwa siku mkuu?
 
Back
Top Bottom