Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
MBS ni nani? Kutumia mbona hata dola bilioni moja unaweza kutumia kwa kutoa sadaka tu?MBS hatumii 5m kwa siku mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MBS ni nani? Kutumia mbona hata dola bilioni moja unaweza kutumia kwa kutoa sadaka tu?MBS hatumii 5m kwa siku mkuu?
Hapo hata mie nimeona hamna uhalisiaPesa ya ju spend 5 milli9n per day unazifanyia nini? Una uraibu wa kucheza kamali?
Kwa mtu wa kawaida anayeishi mIji ya gharama kabisa duniani kama Hong Kong, China, Singapore, Geneva Switzerland, Tokyo Japan, New Yoek City, USA, London UK, Los Angeles, USA, kote huko bado hakujafikia maisha ya gharama hiyo.
Sasa shilingi milioni 5 kwa siku Tanzania unaendesha familia au timu ya soka?
Ndiyo maana Nkurunzinza kajipata sana🤣🤣🤣😂😂😂Usiogope!
YOU are YOUR THOUGHTS.Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day
Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi
1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna kipaji
3.biashara haramu,
4.uchawi
Bila hivi sahau range rover, sahau V8🥶
👉Muhimu usijeona maisha ya wengine ukadhani wewe umetengwa na dunia.
👉Hesabu Yale mazuri Mungu aliyokupa, usihesabu mapungufu ama Kasoro ulizonazo
Jikubali
Nyie mnaompa sadaka zenu uwezo wenu wa kula hauwafikii mbwa wake wasiompa sadaka bwana yao, amkeni.Labda chief godlove😏View attachment 3201077
lugumiKuna tajiri bongo hii anayetumia million Tano Kwa siku?, sidhani kama tajiri huyo yupo, unadhani ukiwa tajiri ndo unatumia pesa hovyo, hakuna tajiri wa kweli anayetumia pesa hovyo hovyo, pesa ukiiheshimu na wewe itakuheshimu. Labda kama ni mtu ameshinda bet ama limbukeni kapata madini.
mohamed bin salman, kwa hyo mkuu hata floyd hatumii dolari za kimarekan buku 2 kwa siku?MBS ni nani? Kutumia mbona hata dola bilioni moja unaweza kutumia kwa kutoa sadaka tu?
Ndoyo mnataka kuishi kama MBS, for real?mohamed bin salman, kwa hyo mkuu hata floyd hatumii dolari za kimarekan buku 2 kwa siku?
Kwahiyo jamaa anamaanisha kupitia cake tu huyo mtu kwa mwaka ana mauzo ya 240m?Sasa mauzo ni 20 Twende kwny mchanganuo wa kulipa rent, wafanyakazi, na zile leseni, usafiri, umeme na everthing Je take home inabaki shingapi
Umesahau kuweka kufanya kazi TRA!Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day
Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi
1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna kipaji
3.biashara haramu,
4.uchawi
Bila hivi sahau range rover, sahau V8🥶
👉Muhimu usijeona maisha ya wengine ukadhani wewe umetengwa na dunia.
👉Hesabu Yale mazuri Mungu aliyokupa, usihesabu mapungufu ama Kasoro ulizonazo
Jikubali
Pesa ya ku spend 5 million per day unazifanyia nini? Una uraibu wa kucheza kamali?
Kwa mtu wa kawaida anayeishi miji ya gharama kabisa duniani kama Hong Kong, China, Singapore, Geneva Switzerland, Tokyo Japan, New York City, USA, London UK, Los Angeles, USA, kote huko bado hakujafikia maisha ya gharama hiyo.
Sasa shilingi milioni 5 kwa siku Tanzania unaendesha familia au timu ya soka?
Tatizo Tanzania hakuna standards zilizokuwa codified.Bora angesema laki tano hapo sawa.
Sadaka anazopata analisha mbwa wakeNyie mnaompa sadaka zenu uwezo wenu wa kula hauwafikii mbwa wake wasiompa sadaka bwana yao, amkeni.
hakika mkuu, kwan kuna mtu hapendi kuish maisha kamili? Yaani unaishi yaani sio unasukuma siku,Ndoyo mnataka kuishi kama MBS, for real?
Unaelewa MBS ana matatizo yake kibao naye, kuanzia infighting za wana wa mfalme wa Saudi Arabia, mpaka geopolitics za dunia zinavyotishia usalama wake.hakika mkuu, kwan kuna mtu hapendi kuish maisha kamili? Yaani unaishi yaani sio unasukuma siku,
Et mkuu Bolotoba we hutaki kuishi kama mbs.
Hata mbowe ni mchawi trust meUchawi toa hiyo ni sababu ya watu wajinga jinga