Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

Pesa ya ju spend 5 milli9n per day unazifanyia nini? Una uraibu wa kucheza kamali?

Kwa mtu wa kawaida anayeishi mIji ya gharama kabisa duniani kama Hong Kong, China, Singapore, Geneva Switzerland, Tokyo Japan, New Yoek City, USA, London UK, Los Angeles, USA, kote huko bado hakujafikia maisha ya gharama hiyo.

Sasa shilingi milioni 5 kwa siku Tanzania unaendesha familia au timu ya soka?
Hapo hata mie nimeona hamna uhalisia
 
Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day

Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi

1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna kipaji
3.biashara haramu,
4.uchawi

Bila hivi sahau range rover, sahau V8🥶

👉Muhimu usijeona maisha ya wengine ukadhani wewe umetengwa na dunia.

👉Hesabu Yale mazuri Mungu aliyokupa, usihesabu mapungufu ama Kasoro ulizonazo

Jikubali
YOU are YOUR THOUGHTS.
 
Kuna tajiri bongo hii anayetumia million Tano Kwa siku?, sidhani kama tajiri huyo yupo, unadhani ukiwa tajiri ndo unatumia pesa hovyo, hakuna tajiri wa kweli anayetumia pesa hovyo hovyo, pesa ukiiheshimu na wewe itakuheshimu. Labda kama ni mtu ameshinda bet ama limbukeni kapata madini.
 
lugumi
 
Sasa mauzo ni 20 Twende kwny mchanganuo wa kulipa rent, wafanyakazi, na zile leseni, usafiri, umeme na everthing Je take home inabaki shingapi
Kwahiyo jamaa anamaanisha kupitia cake tu huyo mtu kwa mwaka ana mauzo ya 240m?
 
Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day

Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi

1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna kipaji
3.biashara haramu,
4.uchawi

Bila hivi sahau range rover, sahau V8🥶

👉Muhimu usijeona maisha ya wengine ukadhani wewe umetengwa na dunia.

👉Hesabu Yale mazuri Mungu aliyokupa, usihesabu mapungufu ama Kasoro ulizonazo

Jikubali
Umesahau kuweka kufanya kazi TRA!
 
Pesa ya ku spend 5 million per day unazifanyia nini? Una uraibu wa kucheza kamali?

Kwa mtu wa kawaida anayeishi miji ya gharama kabisa duniani kama Hong Kong, China, Singapore, Geneva Switzerland, Tokyo Japan, New York City, USA, London UK, Los Angeles, USA, kote huko bado hakujafikia maisha ya gharama hiyo.

Sasa shilingi milioni 5 kwa siku Tanzania unaendesha familia au timu ya soka?

Bora angesema laki tano hapo sawa.
 
Bora angesema laki tano hapo sawa.
Tatizo Tanzania hakuna standards zilizokuwa codified.

Unaweza kuwa sehemu una hiyo milioni tano kwa siku, hakuna vitu vya kuitumia.

Yani unataka kununua vitu vya bei ya juu supermarket halafu uko Njombe huko unakutana na mbogamboga za bei rahisi humalizi hata Tsh 10,000 kwa siku.

Ulitaka kunywa Henessy ya bei mbaya unakutana na vilabu vya Komoni ya bei rahisi, hata ukiwanunulia watu wote kilabuni humalizi Tsh 30,000.

Mpaka unakasirika.
 
hakika mkuu, kwan kuna mtu hapendi kuish maisha kamili? Yaani unaishi yaani sio unasukuma siku,

Et mkuu Bolotoba we hutaki kuishi kama mbs.
Unaelewa MBS ana matatizo yake kibao naye, kuanzia infighting za wana wa mfalme wa Saudi Arabia, mpaka geopolitics za dunia zinavyotishia usalama wake.

Kuanzia constant criticism and scrutiny the world over, mpaka challenges za kiuchumi za ku transition kutoka uchumi wa mafuta unaoonekana kuelekea kuisha umuhimu wake.

Kuanzia changamoto za upande mmoja ku modernize Saudi Arabia huku upande wa pili wahafidhina wa Wahabi wakikataa modernization na kutaka kuendeleza Uislamu wa msimamo mkali,

Mpaka changamoto za kiafya ambazo hela haiwezi kuzimaliza, stress na isolation ya kuwa mtawala wa Saudi Arabia na kuiongoza Saudi Arabia katika migogoro yote kuanzia Yemen, Palestina, cold war ya Wamarekani na Warusi etc.

Usione mtu ana hela na power ukaona upande mzuri tu.
 
Back
Top Bottom