Kumiliki silaha za nyuklia ndio njia pekee ya kuihakikishia nchi yoyote usalama dunia

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
790
Reaction score
1,316
Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za nyuklia.

Ni ukweli uliobayana kuwa kama huna mabomu ya nyuklia, pamoja na teknolojia ya kuweza kuyarusha mabomu hayo kufika Marekani, basi unakuwa halali ya wababe wa Dunia.

Tizama Rais wa Korea Kaskazini, Bwana Kim, kila siku anafanya majaribio ya mabomu yake wala hatuoni Marekani kwenda pale. Lakini Iraq na Irani pamoja na kuwa walijitetea kuhusu kutokuwa na silaha za nyuklia wameishia kuadhibiwa vikali.

Tukiwa wa kweli, lugha pekee wababe wa dunia hii wanayoiheshimu ni ww uwe una test nukes, jamaa wakioni vitu vyako vina tick hapo ndio nchi yako itakuwa salama.
 
Inahitaji wastani wa miaka 15-30 kupata mtaalam mmoja wa Nyuklia.

Bado teknolojia na vitu vingine.

North Korea ana Nyuklia kwa sababu amepakana na China na China anaiona North Korea kama buffer zone yake na Marekani.

China Hawezi ruhusu Taiwan awe na Nyuklia same as Russia haiwezi kuruhusu Ukraine awe na Nyuklia and same thing hayo mataifa yote hayawezi kuruhusu mtu mwingine yoyote awe na hizo Silaha
 
Sasa nchi zetu zita survive vipi against geopolitical bullying?
 
Swali kuhusu bomu la nyuklia

Linafanyaje? Kazi yaani namaanisha ukiwa nalo unamlipua nani? Mbona mataifa mengi wanayo na hawayatumii, mbona marekani analo na hampigi nalo iran, au mtu mpaka apigwe na bomu la nyuklia mpaka afanyaje?

Au marekani anaogopa nini? Kumpiga nalo irani, ni kwa sababu ya washirika wao wanayo mabomu ya nyuklia au

Kwann? Marekani asilipue kwa pamoja nchi zenye nyuklia kwa pamoja, urusi,pakstan, india na zinginezo

Au anaogopa kuwa patani zake zinategwa kulingana na batani za wapinzani wako yaani ukifyatua tu moja kwa moja na batani ya mpinzani wako inajifyatua bomu na wewe linakuja kwako..

Yaani inshort nauliza kwa nn? Wasipogane mabomu ya nyuklia wanamuogopa nan?

Mbona umoja wa mataifa wenyewe hawawaogopi wanaambiwa wasipigane wao wanazid tu kupigana

Bado nna mengi ya kujiuliza so bado nipo kwenye uzi huu
 
1775576528932.png
 
Lazima tukubalie wazungu wametuzidi mbali kwenye ustaarabu.

Africa Majeshi ni mali ya viongozi na mara nyingi sana yanatumika dhidi ya wananchi wao sasa imagine wakiwa na Nyuklia.
 
Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za nyuklia.

Ni ukweli uliobayana kuwa kama huna mabomu ya nyuklia, pamoja na teknolojia ya kuweza kuyarusha mabomu hayo kufika Marekani, basi unakuwa halali ya wababe wa Dunia.

Tizama Rais wa Korea Kaskazini, Bwana Kim, kila siku anafanya majaribio ya mabomu yake wala hatuoni Marekani kwenda pale. Lakini Iraq na Irani pamoja na kuwa walijitetea kuhusu kutokuwa na silaha za nyuklia wameishia kuadhibiwa vikali.

Tukiwa wa kweli, lugha pekee wababe wa dunia hii wanayoiheshimu ni ww uwe una test nukes, jamaa wakioni vitu vyako vina tick hapo ndio nchi yako itakuwa salama.
Ukweli Mchungu.
Kama huna Nyukilia wewe ni binti tu mbele ya wanaume.
Mataifa yarutubishe uranium ili katika siku za baadaye wamiliki vichwa vya makombora ya masafa marefu yenye uwezo wa kuzunguka Dunia nzima
Hongera sana Kim, hongera Pakistani
 
Nukes+ICBM=Sovereignty FULL STOP!
 
Lazima tukubalie wazungu wametuzidi mbali kwenye ustaarabu.

Africa Majeshi ni mali ya viongozi na mara nyingi sana yanatumika dhidi ya wananchi wao sasa imagine wakiwa na Nyuklia.
Mmh! Kwamba Africa tukipata Nukes viongozi watazitumia kudhuru wananchi? Hili haliwezekani
 
Swali kuhusu bomu la nyuklia

Linafanyaje? Kazi yaani namaanisha ukiwa nalo unamlipua nani? Mbona mataifa mengi wanayo na hawayatumii, mbona marekani analo na hampigi nalo iran, au mtu mpaka apigwe na bomu la nyuklia mpaka afanyaje?

Au marekani anaogopa nini? Kumpiga nalo irani, ni kwa sababu ya washirika wao wanayo mabomu ya nyuklia au

Kwann? Marekani asilipue kwa pamoja nchi zenye nyuklia kwa pamoja, urusi,pakstan, india na zinginezo

Au anaogopa kuwa patani zake zinategwa kulingana na batani za wapinzani wako yaani ukifyatua tu moja kwa moja na batani ya mpinzani wako inajifyatua bomu na wewe linakuja kwako..

Yaani inshort nauliza kwa nn? Wasipogane mabomu ya nyuklia wanamuogopa nan?

Mbona umoja wa mataifa wenyewe hawawaogopi wanaambiwa wasipigane wao wanazid tu kupigana

Bado nna mengi ya kujiuliza so bado nipo kwenye uzi huu
Kuna mikataba ya kimataifa ya kudhibiti matumizi ya silaha za kivita, haswa zenye madhara makubwa kama cluster bombs na Nukes. Kuhusu nukes issue ni madhara yake. Hiroshima na Nagasaki tangu wapigwe nukes 1949 mpaka leo athari zake hazijaisha. Ndio maana hawazitumii hovyo hovyo.
 
Mmh! Kwamba Africa tukipata Nukes viongozi watazitumia kudhuru wananchi? Hili haliwezekani
There is the reason binadamu tuna akili nyingi kuliko wanyama wa Porini na kwa sababu hiyo hiyo ndio maana sisi kama Jamii hatuna advanced civilization kama hao wenye Nyuklia.

Israel kila siku mabomu yanaanguka ila hata mtaa bomu linapoanguka umeme haukatiki.

Sisi kwetu tangu mwaka 2021 tumekamilisha bwawa la umeme hadi leo hatujalitumia kwa hata 40%
 
Sisi hatuwezi hayo mambo. We're too corrupt and too inept for such things.
 
Kuna mikataba ya kimataifa ya kudhibiti matumizi ya silaha za kivita, haswa zenye madhara makubwa kama cluster bombs na Nukes. Kuhusu nukes issue ni madhara yake. Hiroshima na Nagasaki tangu wapigwe nukes 1949 mpaka leo athari zake hazijaisha. Ndio maana hawazitumii hovyo hovyo.
Na wanasikilizwa kwenye mabomu hayo makubwa tu, vip? Kuhusu makatazo mengine ya kuacha na kutoendelea na vita mbona hawawasikilizi hao umoja wa mataifa, wanawasikiliza kwenye makatazo ya mabomu ya nyuklia tu
 
Back
Top Bottom