Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Inahitaji wastani wa miaka 15-30 kupata mtaalam mmoja wa Nyuklia.Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za nyuklia.
Ni ukweli uliobayana kuwa kama huna mabomu ya nyuklia, pamoja na teknolojia ya kuweza kuyarusha mabomu hayo kufika Marekani, basi unakuwa halali ya wababe wa Dunia.
Tizama Rais wa Korea Kaskazini, Bwana Kim, kila siku anafanya majaribio ya mabomu yake wala hatuoni Marekani kwenda pale. Lakini Iraq na Irani pamoja na kuwa walijitetea kuhusu kutokuwa na silaha za nyuklia wameishia kuadhibiwa vikali.
Tukiwa wa kweli, lugha pekee wababe wa dunia hii wanayoiheshimu ni ww uwe una test nukes, jamaa wakioni vitu vyako vina tick hapo ndio nchi yako itakuwa salama.
Sasa nchi zetu zita survive vipi against geopolitical bullying?Inahitaji wastani wa miaka 15-30 kupata mtaalam mmoja wa Nyuklia.
Bado teknolojia na vitu vingine.
North Korea ana Nyuklia kwa sababu amepakana na China na China anaiona North Korea kama buffer zone yake na Marekani.
China Hawezi ruhusu Taiwan awe na Nyuklia same as Russia haiwezi kuruhusu Ukraine awe na Nyuklia and same thing hayo mataifa yote hayawezi kuruhusu mtu mwingine yoyote awe na hizo Silaha
sio bullying watu tunatakiwa kustaarabika.Sasa nchi zetu zita survive vipi against geopolitical bullying?
You don’t get it.sio bullying watu tunatakiwa kustaarabika.
Walioko madarakani hapa waliua watu October 29
Ukweli Mchungu.Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za nyuklia.
Ni ukweli uliobayana kuwa kama huna mabomu ya nyuklia, pamoja na teknolojia ya kuweza kuyarusha mabomu hayo kufika Marekani, basi unakuwa halali ya wababe wa Dunia.
Tizama Rais wa Korea Kaskazini, Bwana Kim, kila siku anafanya majaribio ya mabomu yake wala hatuoni Marekani kwenda pale. Lakini Iraq na Irani pamoja na kuwa walijitetea kuhusu kutokuwa na silaha za nyuklia wameishia kuadhibiwa vikali.
Tukiwa wa kweli, lugha pekee wababe wa dunia hii wanayoiheshimu ni ww uwe una test nukes, jamaa wakioni vitu vyako vina tick hapo ndio nchi yako itakuwa salama.
Nukes+ICBM=Sovereignty FULL STOP!Ukweli Mchungu.
Kama huna Nyukilia wewe ni binti tu mbele ya wanaume.
Mataifa yarutubishe uranium ili katika siku za baadaye wamiliki vichwa vya makombora ya masafa marefu yenye uwezo wa kuzunguka Dunia nzima
Hongera sana Kim, hongera Pakistani
Mmh! Kwamba Africa tukipata Nukes viongozi watazitumia kudhuru wananchi? Hili haliwezekaniLazima tukubalie wazungu wametuzidi mbali kwenye ustaarabu.
Africa Majeshi ni mali ya viongozi na mara nyingi sana yanatumika dhidi ya wananchi wao sasa imagine wakiwa na Nyuklia.
Kuna mikataba ya kimataifa ya kudhibiti matumizi ya silaha za kivita, haswa zenye madhara makubwa kama cluster bombs na Nukes. Kuhusu nukes issue ni madhara yake. Hiroshima na Nagasaki tangu wapigwe nukes 1949 mpaka leo athari zake hazijaisha. Ndio maana hawazitumii hovyo hovyo.Swali kuhusu bomu la nyuklia
Linafanyaje? Kazi yaani namaanisha ukiwa nalo unamlipua nani? Mbona mataifa mengi wanayo na hawayatumii, mbona marekani analo na hampigi nalo iran, au mtu mpaka apigwe na bomu la nyuklia mpaka afanyaje?
Au marekani anaogopa nini? Kumpiga nalo irani, ni kwa sababu ya washirika wao wanayo mabomu ya nyuklia au
Kwann? Marekani asilipue kwa pamoja nchi zenye nyuklia kwa pamoja, urusi,pakstan, india na zinginezo
Au anaogopa kuwa patani zake zinategwa kulingana na batani za wapinzani wako yaani ukifyatua tu moja kwa moja na batani ya mpinzani wako inajifyatua bomu na wewe linakuja kwako..
Yaani inshort nauliza kwa nn? Wasipogane mabomu ya nyuklia wanamuogopa nan?
Mbona umoja wa mataifa wenyewe hawawaogopi wanaambiwa wasipigane wao wanazid tu kupigana
Bado nna mengi ya kujiuliza so bado nipo kwenye uzi huu
There is the reason binadamu tuna akili nyingi kuliko wanyama wa Porini na kwa sababu hiyo hiyo ndio maana sisi kama Jamii hatuna advanced civilization kama hao wenye Nyuklia.Mmh! Kwamba Africa tukipata Nukes viongozi watazitumia kudhuru wananchi? Hili haliwezekani
Mutually assured destruction=Mwaga mboga ni mwage ugali. Hiki ndio kinafanya USA, Urusi na China waheshimiane. Nchi masikini kama zinataka uhuru ni sharti wajifunze kwa rais wa Korea Kaskazini bwana Kim
Na wanasikilizwa kwenye mabomu hayo makubwa tu, vip? Kuhusu makatazo mengine ya kuacha na kutoendelea na vita mbona hawawasikilizi hao umoja wa mataifa, wanawasikiliza kwenye makatazo ya mabomu ya nyuklia tuKuna mikataba ya kimataifa ya kudhibiti matumizi ya silaha za kivita, haswa zenye madhara makubwa kama cluster bombs na Nukes. Kuhusu nukes issue ni madhara yake. Hiroshima na Nagasaki tangu wapigwe nukes 1949 mpaka leo athari zake hazijaisha. Ndio maana hawazitumii hovyo hovyo.