Kumjuwa rafiki yako wa ukweli na utu wake fanya hivi

Kumjuwa rafiki yako wa ukweli na utu wake fanya hivi

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,112
Reaction score
34,951
ukitaka kuujuwa utu wa mtu basi upite katika njia 5.

Njia ya kwanza usafiri nae pamoja.

Njia ya pili ushirikiane katika mambo ya pesa na mali.

Njia ya tatu asikie habari isio nzuri inayokuhusu wewe bila ya kujua ukweli.

Na njia ya 4 uwe mgeni wake ufikie kwake.

Na njia ya 5 ya mwisho mjaribu kwa mpenzi wako je atamtongoza au hamtongozi?

Akipita yote hayo mitihani ujuwe huyo kweli ni rafiki yako wa ukweli lakini

akifeli moja kati ya hayo ujuwe basi sio huyo rafiki yako sio wa ukweli


 
Hahaha hilo la kumjaribu mpenzi wala tusiende mbali, hapa CC kuna watu lishawashinda to mention few hawa ndio wapo on top of the list...
Erickb52 na Mr Rocky...majeruhi wao wanajulikana hahaha!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom