Kumjuwa rafiki yako wa ukweli na utu wake fanya hivi

Kumjuwa rafiki yako wa ukweli na utu wake fanya hivi

ukitaka kuujuwa utu wa mtu basi upite katika njia 5.

Njia ya kwanza usafiri nae pamoja.

Njia ya pili ushirikiane katika mambo ya pesa na mali.

Njia ya tatu asikie habari isio nzuri inayokuhusu wewe bila ya kujua ukweli.

Na njia ya 4 uwe mgeni wake ufikie kwake.

Na njia ya 5 ya mwisho mjaribu kwa mpenzi wako je atamtongoza au hamtongozi?

Akipita yote hayo mitihani ujuwe huyo kweli ni rafiki yako wa ukweli lakini

akifeli moja kati ya hayo ujuwe basi sio huyo rafiki yako sio wa ukweli


Naweza kujaribu njia zote lakini hiyo ya tano thithubutu aisee ili kuepuka muder kesi
 
Wewe mwenyewe I bet hauko perfect; rafiki yako akitumia mbinu hizi hizi ulizobandika hapa, kukujaribu wewe, I'm sure 100% utafeli. Ninaamini wewe una marafiki, je wametimiza haya uliyoleta hapa jamvini, au bado unasita kufanya test kwao?
 
Urafiki mwisho kazini, kitaani na maeneo mengine ya kujidai...... nyumbani maadui!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom