Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Hakuna rafiki wa kweli katika hii dunia tofauti na nafsi yako mwenyewe
Mkuu C6 Unaweza kunijaribu mimi kunikabidhi mpenzi wako simfanyi kitu mimi Mlokole nime okoka hahahaha. Unaweza kumfungia Paka kwenye Kabati la samaki?weeeeeeeee MziziMkavu hilo la kumjaribu mpenzi wako mweeeeeeeeeeeeee
Akila mzigo wako ,huyo atakuwa hakufai!Ah!
Kila mtu ana mapungufu bhana,si rahc kumpata mtu anaye fit kote huko!
By the way,unaweza kumjaribu kwa mpenzi wako,akala mzigo!
Mkuu hapo lazima uambulie manyoya!Mmhhh...hiyo njia ya tanoo.. duuuhh unaweza kuambulia manyoya!
Duh!hii ni kali ya mwaka!Hata nafsi yako inaweza kukuuza. Ukaishia kutamani visivyotamanika
Mkuu acha msimamo mkali!Sihitaji marafiki
Mkuu nini kimekutokea mbaka kufikia kuamini hivyo?Hakuna rafiki wa kweli katika hii dunia tofauti na nafsi yako mwenyewe
Ah!
Kila mtu ana mapungufu bhana,si rahc kumpata mtu anaye fit kote huko!
By the way,unaweza kumjaribu kwa mpenzi wako,akala mzigo!
Uwezekano wa kumkosa rafiki wa kweli ni mkubwa mno!hayo ndio majaribu ya wanadamu kuwa na urafiki wa dhati....