Kumjuwa rafiki yako wa ukweli na utu wake fanya hivi

MziziMkavu - njia ya tatu inahusika sana kwangu; Mbaya zaidi ilihusisha rafiki zaidi ya mmoja na hakuna hata aliyekuwa na hekima ya kuja kusikia my side of story. Niliwasamehe bure na kumshukuru Mungu kwa kunionyesha mapungufu yao.
 
Last edited by a moderator:
Ah!
Kila mtu ana mapungufu bhana,si rahc kumpata mtu anaye fit kote huko!
By the way,unaweza kumjaribu kwa mpenzi wako,akala mzigo!

Hahahahahaaaaaa!!!! Nilipoanza tu kusoma comments zako
kuhusu mapungufu nilijua tu huko ndiko ulikokuwa ukielekea...
 

Mkuu naomba niwe mgeni wako na nifikie kwako... hivi unaishi wapi vile??
 
Rafiki yangu ni watoto wangu tu!sitaki wengine as long as god grant me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…