Uchaguzi 2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

Apitishwe hafu apewe uwaziri!!
How!!!!
Uwazir kwani ameshinda ubunge?
Au ushindi upo kwake tu yani PGA galagaza lazma ashinde!!
 
Ukataji hautegemei 'akili' tu, bali 'jinsi mkataji alivyoamka' pia.
 
Bashite anatamaa nyingi hafai kua kiongoz
 
Apitishwe hafu apewe uwaziri!!
How!!!!
Uwazir kwani ameshinda ubunge?
Au ushindi upo kwake tu yani PGA galagaza lazma ashinde!!
Lakini si kuna vile viti 10 (5 me, 5 ke) vya ubunge vya Rais alivyosema bwana mkubwa mwenyewe?
 
Maamuzi juu ya Makonda anayo Magufuli, nyingine Mbwembwe tu za wana CCM
 
KWA NINI MAKONDA NI LAZIMA AKATWE NA CCM

Ndugu yangu andiko lako ni zuri ila halijanona.Kwanza sio kweli kwamba Paul Makonda anazo hizo sifa ambazo umezitaja ingawa hata kaa angekuwa nazo sifa hizo zisingetosha kumfaa kuwa kiongozi wa nafasi yoyote ile.

Sifa ulizotaja sio sifa za kiongozi ni sifa za BULLYS,watu wenye inferiority Complex,Watu wenye njaa ya madaraka,Watu wenye dharau,kiburi na majivuno.Watu wasiofaa kabisa katika jamii.

Sifa za kweli alizo nazo huyo Makonda ni sifa ya KIBURI na UTUPU Kichwani.Makonda wako huyo ni mweupe kichwani na kilichomo humo ni Kiburi tu.Kiburi ambacho huwa kinaongezeka akisifiwa kidogo,akipewa kacheo kidogo,akitumwa kidogo etc.

Ukitaka kujua kwamba ni mtupu kichwani angalia tu uamuzi aliochukua wa kugombea Ubunge katika kajimbo KADOGO ka KIgamboni ambako kako katika MKOA aliokuwa anauongoza.Unaona JINSI alivyo MTUPU Kichwani?Unaacha ukuu wa mkoa ambao ungeweza kuutumia zaidi kuwatumikia wananchi wpte unajishusha cheo mwenyewe mpaka chini ya mkuu wa wilaya.

Huu ni uthibitisho kwamba uwezo wake ni mdogo sana na ni mwneyeKIBURI na UJINGA mwingi

Ushauri wangu kwa Makonda wako ni HUU-ARUDI SHULE AKAONGEZE MAARIFA KISHA ARUDI KWA KOLOMIJE AKAGOMBEE SERIKALI ZA MTAA

Ni mimi

Mbunge wa Wananchi

Kimbiji-Kigamboni
 


Mkuu ulivyoanza umeanza kama mtu mwenye nondo kweli. Lakini niseme umenisikitisha kwani hakuna hoja ya maana uliyoieleza. Pengine nikupe nafasi nyingine ujieleze. Kama upo tayari waweza zitaja hoja zako
 
Una takwimu na hii comment yako mkuu? Kwamba wenye uwezo Kama Makonda ni wachache!! Au umeandika tu kufurahisha nafsi yako

Takwimu zipo Mkuu.
Unafikiri ni vijana wangapi wa umri wa Makonda wamepewa nafasi na Magufuli lakini wameshindwa kutia hamasa, kushawishi, kuonyesha dhamira ndani ya jamii, uthubutu na ubunifu katika utendaji wao.

Wapo vijana wachache mno.
 
Bandiko hili linapendeza kusoma na kumuelewa kwa kina Com Makonda, ila limepelekwa mahala pasipo husika na kwa muda usio sahii. KWA NINI? Kwa sababu wafanya maamuzi wako kazini leo na maamuzi ya nani apate na nani asipate hizo au hiyo nafasi ya kusonga mbele katika mpambano huu yanafanyika sasa hivi, leo tarehe 19/07/2020 au labda hata kesho. Sijui kama wafanaya maamuzi hayo watausoma uzi huu na kuutumia katika kufanya yao. Tusubiri matokeo tu, tusiwe na wagombea wetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…