Uchaguzi 2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili



Umemaliza mkuu! Huyo jamaa yake anayemtetea ni mweupe mno..ana kaubongo kakuku yaan hakukua kuwa mkuu wa mkoa ni Rais wa mkoa mkubwa wote Tanzania! Yaani alikua ana uwezo mkubwa Sana wakufikia anapotaka
 
Ili waue watz wenzao!
 
Takwimu zipo Mkuu.
Unafikiri ni vijana wangapi wa umri wa Makonda wamepewa nafasi na Magufuli lakini wameshindwa kutia hamasa, kushawishi, kuonyesha dhamira ndani ya jamii, uthubutu na ubunifu katika utendaji wao.

Wapo vijana wachache mno.

Sio kweli...inaonekana na ww mtupu tu kama huyo unayemtaja!..Hana uthubutu wowote ule
 
Kwan Kigambon kuna watia nia wangapi? wote hao hawafai isipokuwa Makonda ? wewe unalako jambo, elewa kuwa anatafutwa mtu mwenye sifa ikiwemo kukubalika kwa wananchi.
 
YEYE SIO KUBWA KULIKO CHAMA
 
Sikubaliani na makonda katika mambo mengi nina admire ujasiri wake. Akiweza kuuchannel katika positive na kupunguza kiki, anaweza kuja kuwa kiongoz bora kwa taifa hapo mbeleni.
Hana lolote labda wewe kama unapenda sauti yake, matukio yote uliyowahi kuyaona alikuwa anatengenezewa tu na ndio maana hata taasisi nyingine zilikuwa zinaogopa kuingilia kati.
 
Makonda a.k.a Bashite hafai kuwa kiongozi wa umma .....ateuliwe kuwa mchawi wa kabila lake!
Aliyekutuma na wewe mwenyewe ni wapuuzi tu .....njaa zinawasumbua!
Makonda hana elimu yoyote ya kuteuliwa kuwa waziri vinginevyo mnafanya mchezo!
 

Naamini leo wana mchakato kule kigamboni,kama wajumbe wa kamati wakiamua kumpitisha basi pengine watakuwa wamemuona anafaa ndani chama kwa nafasi aliyoomba.Ila kama hawatampitisha basi ni dhahiri watakuwa wameona hafai ndani ya chama.Nguvu ndani ya chama ni “ushawishi” na si maguvu yale ya Makonda.Unachokiita kama ujasiri kwangu ni matumizi mabaya ya madaraka na nguvu.Bahati mbaya mimi si mjumbe,ila kama ningekuwa mjumbe ningempa NO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…