Uchaguzi 2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

Akatwe tu, anakimbelembele sijawahi ona. Nyambaaafuu
 
Asipopata ubunge anaweza kupata mmojawapo ya zile nafasi kumi za wabunge alizonazo mheshimiwa rais.
 
Akatwe mara ya ngapi wakati kapata 198 ndugu kapata 350 na point huko mpoki 33
 
Maamuzi yasio na akili kwa upande upi?
What if akipitishwa alafu akachukua mpinzani jimbo?
Nani anawashikia raia akili?
 
Wana Kigamboni watakuwa wamefanya kosa kubwa la kukataa maendeleo endapo wataacha kumpitisha mtu ambaye yuko karibu na Baba. Ni jambo la dhahiri kuwa miradi iliyoko Kigamboni haiwezi kukwama chini ya Mh. Makonda (MB) na Mh. Magufuli (Raisi wa Jamhuri ya Tanzania).
 

Vipi kuhusu utekaji,mauaji na ubambikiaji wa kesi?
 
Umekosea Sanaa wananchi uyo siyo mtu sahihi

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Naungana na wewe mwandishi kwa upande wa sifa za makonda ulizozitaja
 

Kashapigwa chini tayari![emoji1]
 
yan nimefurahi sana kwa bandiko hili. umenikosha mi wa mkoan. maana watanzania tunataman sana uongozi wa makonda lakin wa dar hasa wapenda lawless life wanamkataa.(jiwe la waashi). makonda ni tafsiri kamili ya uongoz na utawala thabiti. bas tu miluz mingi ...... itoshe tu kusema wataalam wa medan za uongoz watubunie *customized democracy*, tukiendekeza viongoz wa kutuchekea hatutafika ili tujitegemee.
 
CCM walishamkata hadi Chaguo la Mwalim - Mzee Salim - sasa atakuwa huyu kijana wa Koromije bana.... kule nasikia Ndugulile kashashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…