Uchaguzi 2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

Nasikia panga lishapita shingoni kwa Makondakta🤣🤣🤣🤣
 
Unampenda wewe kwa wengine ni maumivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau sifa nyingine ni kiongozi aliyejilimbikizia Mali kwa njia za mkato kupitia machozi jasho na damu ya wengine
 
Kampeleke kwaki ili ufaidi hizo sifa
 
kampeni yako imebugi
 
Kazi gani nzuri aliyoifanya kwenye ukuu wa mkoa zaidi ya kucheza na media?
Umesahau sifa nyingine ni kiongozi aliyejilimbikizia Mali kwa njia za mkato kupitia machozi jasho na damu ya wengine
Aliwahi kutengeneza kisingizio cha vita za Dawa za kulevya akatumia fursa ile kuwabambikia wengi kesi wakawapora mali zao magari na hata viwanja vya Yusuph manji na wengine, anao maadui wengi kupita kiasi ingawa wengine Usoni humchekea tu
 
Daud Bashite atapelekwa ubalozini ama huenda akawa RC wa Dodoma au mwanza ndicho kitafuata endapo hawatafanya uonevu Kigamboni kwa kulikata jina la ndungulile kwa kisingizio cha Rushwa na vinginevyo wamurejeshe Daud Bashite kwa njia haramu
 
Rais haizidi ubora nchi yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…