Uchaguzi 2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

Sasa huyu akichaguliwa kuwa waziri atasafirije kwenda kwa wafadhili wetu wa maendeleo wakati nchi zao zimemzuia asikanyage nchini mwao kwa sababu ana tabia ya kudhulumu uhai wa watu.
Atapewa wizara ambayo atakuwa akiwatuma wengine kuwakilisha
 
Tutaona na
Tutaona na kusikia Fasihi nyingi tata kama hii,walioilewa fasihi hii kutoka kwa Taikon wanaweza kufafanua.Nimesoma bila kuelewa kuwa wewe ndiye Makonda,unamfanyia kampeni ya kumsifia na kumponda kwa wakati moja?
 
Hivi ni kwanini wafadhili wetu wa maendeleo USAID, Marekani hawataki Bashite akanyage nchini mwao? Kama unadai ushaidi basi ndio huo na hajawahi kukanusha tuhuma hizo toka taifa kubwa kabisa duniani.
Kukataa asiende Us ndio ushahidi? Mbona hao ni wanafiki tu. Walipaswa waseme alifanya mauaji gani na kwa nani? Maana hao ni wanafiki mbona wao wanaua watu Afghanistan na hawataki kuchunguzwa.
 
Unyama gani? Mnasingizia watu kwa chuki binafsi tu. Hamna ushahidi wa kutosha.
Nimesikia sauti ya mtu ikisema "...USIWAZE YALIYO KWENYE KICHWA CHA MWENYEKITI... NI MWIKO!!" sauti ile ikaendelea "...ULIKUJA UNALIA SHIDA, TUKAKUSAIDIA... UKAWA MAARUFU... UKALA VYA WATU... UTAVILIPA!!!" sauti ile ikaendelea "WEWE MTOTO WEWE UNAWEZAJE KUTHUBUTU KUSEMA AU KUWAZA BABA NA MAMA YAKO WANAFANYA NINI CHUMBANI!!" sauti ile ina mengi..
"SASA TUMEFIKA MTONI MNATUACHA NA TULITARAJIA KUVUKA WOTE!!!" ... "...UNAJIPANGIAJE KAZI... KWANINI HUKUFANYA HIVYO MIAKA MIWILI ILIYOPITA!!!"
KUNA MTU ATAKWENDA NA WENGI!!!
 

Mbona unampigia kampeni mahali pasipo sahihi?
 
Una matatizo makubwa .
Unaandika utafikiri hilo jimbo halina mwenyewe.
Dr Ndugulile yupo.
Makonda arudi kuomba Ukuu wa Mkoa amekuwa akiteuliwa siku zote.
Tunataka ateuliwe Balozi wetu Marekani.
 
Una matatizo makubwa .
Unaandika utafikiri hilo jimbo halina mwenyewe.
Dr Ndugulile yupo.
Makonda arudi kuomba Ukuu wa Mkoa amekuwa akiteuliwa siku zote.
Tunataka ateuliwe Balozi wetu Marekani.
Ndio Utawala wa Trump utamtia gerezani huko kwa sababu mpaka hivi sasa Makonda ni mmoja wapo ya watu waliopigwa marufuku kukanyanga Marekani.
 
Yote ni kweli kwa yale tunayoyaona lakini upande mwingine tusioujua hasa hili la kuwekewa vikwazo na Taifa kubwa kama Marekani na ambalo hajatoka hadhani kulitolea maelezo.Kwangu mimi naamini Makonda hawezi kufutika kwenye siasa kirahisi as long as JPM yupo madarakani lakini kwa ubunge nahisi hafai kutokana na arrogance.
 
Nimekuelewa. Good analysis
 
Taikon
 
Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia moja mfano wa Makonda ambao watakuwa nchi nzima kwa ajili ya kuleta mabadiliko ndani ya nchi hii.
Muda wa kupiga kampeni haujafika
 
CCM wameweka masharti ya watia nia moja wapo ni rushwa swali fikirishi je kama amekiuka masharti asikatwa ?
 
Makonda ana uthubutu wa kufanya jambo, anajiamini pia sio mtu wa kukata tamaa etc.

Hasara yake
Anadhurumu haki ya watu kuishi bhasi according wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…