Kumkwamisha Rais Samia Suluhu ni kuikwamisha Tanzania

Wewe ni mpuuzi tu.
Leta hoja tupambane,achana na viroja.Ibua upuuzi wangu kama mimi nilivyoibua upuuzi wako hapo juu.

Huna uwezo wa kupambana kwa hoja na mimi.Mimi ninapocomment mahali nakuwa nimejipanga kwelikweli.
 
Ukweli ni kwamba, lipo kundi ndani ya Taifa hili tukufu la Tanzania linaloinyooshea vidole Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imekumbwa na Rushwa na Ufisadi ghafla.

Kundi hili linamwona Rais Samia Suluhu Hassan kama ni Mtu aliyeshindwa kupambana na Rushwa na Ufisadi ila Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambaye hata hivyo kutetea mfu ni kumkufuru Mungu.

Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwa Bandari ya Dar es Salaam alilishambulia vikali kundi hili linalodai kulinda na kutetea Legacy ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli kwa kuinyooshea vidole Serikali yake kwa Rushwa na Ufisadi yenye vimiezi vichache tu madarakani.

HOJA YANGU KWENU NI HII
Kati ya nafasi zaidi ya 1,000 za Uteuzi alizopewa Rais na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan Viongozi wapya aliowateua hawajafika watu 100 hadi naandika makala hii. Hawa Viongozi zaidi ya 900 ni Viongozi walewale wa awamu zilizopita hasa hasa awamu ya tano.

SWALI LANGU
1. Hawa watu wanaonyooshewa Vidole wameleta tabia mpya ya Rushwa na Ufisadi awamu ya Sita wametoka Wapi kwa kipindi hiki kifupi au ni hawa wapya 100?

2. Je, nihawahawa waliotoka awamu zilizopita leo wote wamegeuka ghafla mashetani weusi au ndicho walichokifanya huko nyuma ila Utawala uliwaatamia tu na leo wamekwama kuiba wanaanza kubeza?

3. Au wanaposema wanalinda legacy maana yake ni kutekeleza Rushwa na Ufisadi kisha kuisingizia Awamu ya Sita ambayo hata mwaka haina au ndio Legacy kwa Vitendo hii?

4. Au mambo haya yanafanyika kwa maksudi mazima ili kumdhoofisha Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali yake? Je nikweli Rushwa imekithiri au nihadaa tu wanafanya kwa Wananchi?

5. Mnaotetea Legacy ya Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli kwa kutafuna mali za umma kwani yeye alipenda Rushwa na Ufisadi?Msitafute laana,

NB: uwekeni Uzalendo wa Taifa letu mbele kuliko masilahi yetu binafsi kwani nchi hii ni kubwa kuliko yeyote kila mmoja aupinge Ufisadi toka ndani ya moyo wake
,
Hii Vita Ni ngumu kuliko kupambana na upinzani,kumbukeni sumu ya ndani ndo inayoua,poleni Sana wafiwa na wote mliobebwa na kudra kumbukeni tamati iko sebureni.
 
nimesoma paragraph ya kwanza nimeacha haina mashiko kuingiza habari za Rais Magufuli(jabali) wakati unataka kumpamba mama yako umekosea sana

na log out
 
Magufuli ndiye Rais fisadi bora wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi.

Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.

Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule.

Mama yupo sahihi kusema kuwa awamu ya tano ndiyo walikuwa mafisadi papa na ukweli lazima usemwe.

View attachment 2035720View attachment 2035721
Wanasemaga Rumors are carried by haters , Sidhani kama ni kweli,
 
Dawa ya hii Mama bila kuwatazama usoni awafute wote

Huwezi kuongoza kwa Staff iliyowekwa na mtangulizi wako never

Mama weka watu wapya wenye Dira na Mwelekeo wako otherwise hawa wataharibu huku wakijiondoa,

#Kaziiendelee
Kaziiendelee kwa wizi????
 
Wanasemaga Rumors are carried by haters , Sidhani kama ni kweli,
Ripoti ya CAG unaiita kuwa ni rumors?!Umechanganyikiwa?

Umeamua kujitoa ufahamu?Umeamua kutumia JF kama ulingo wako wa kufanya maonyesho ya ujinga wako?
 
Ukweli ni kwamba, lipo kundi ndani ya Taifa hili tukufu la Tanzania linaloinyooshea vidole Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imekumbwa na Rushwa na Ufisadi ghafla.

Kundi hili linamwona Rais Samia Suluhu Hassan kama ni Mtu aliyeshindwa kupambana na Rushwa na Ufisadi ila Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambaye hata hivyo kutetea mfu ni kumkufuru Mungu.

Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwa Bandari ya Dar es Salaam alilishambulia vikali kundi hili linalodai kulinda na kutetea Legacy ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli kwa kuinyooshea vidole Serikali yake kwa Rushwa na Ufisadi yenye vimiezi vichache tu madarakani.

HOJA YANGU KWENU NI HII
Kati ya nafasi zaidi ya 1,000 za Uteuzi alizopewa Rais na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan Viongozi wapya aliowateua hawajafika watu 100 hadi naandika makala hii. Hawa Viongozi zaidi ya 900 ni Viongozi walewale wa awamu zilizopita hasa hasa awamu ya tano.

SWALI LANGU
1. Hawa watu wanaonyooshewa Vidole wameleta tabia mpya ya Rushwa na Ufisadi awamu ya Sita wametoka Wapi kwa kipindi hiki kifupi au ni hawa wapya 100?

2. Je, nihawahawa waliotoka awamu zilizopita leo wote wamegeuka ghafla mashetani weusi au ndicho walichokifanya huko nyuma ila Utawala uliwaatamia tu na leo wamekwama kuiba wanaanza kubeza?

3. Au wanaposema wanalinda legacy maana yake ni kutekeleza Rushwa na Ufisadi kisha kuisingizia Awamu ya Sita ambayo hata mwaka haina au ndio Legacy kwa Vitendo hii?

4. Au mambo haya yanafanyika kwa maksudi mazima ili kumdhoofisha Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali yake? Je nikweli Rushwa imekithiri au nihadaa tu wanafanya kwa Wananchi?

5. Mnaotetea Legacy ya Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli kwa kutafuna mali za umma kwani yeye alipenda Rushwa na Ufisadi?Msitafute laana,

NB: uwekeni Uzalendo wa Taifa letu mbele kuliko masilahi yetu binafsi kwani nchi hii ni kubwa kuliko yeyote kila mmoja aupinge Ufisadi toka ndani ya moyo wake
,
Wewe unayesema "Hamtakubali kwa Gharama Yeyote" Ni nani na unawakilisha akina nani? tuwafahamu kwanza kabla hatujaanza kuchangia post yako.
 
Ripoti ya CAG unaiita kuwa ni rumors?!Umechanganyikiwa?

Umeamua kujitoa ufahamu?Umeamua kutumia JF kama ulingo wako wa kufanya maonyesho ya ujinga wako?
Zilitumika bila kuidhinishwa na bunge, Au sikumbuki vizuri ?
 
Ukweli ni kwamba, lipo kundi ndani ya Taifa hili tukufu la Tanzania linaloinyooshea vidole Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imekumbwa na Rushwa na Ufisadi ghafla.

Kundi hili linamwona Rais Samia Suluhu Hassan kama ni Mtu aliyeshindwa kupambana na Rushwa na Ufisadi ila Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambaye hata hivyo kutetea mfu ni kumkufuru Mungu.

Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwa Bandari ya Dar es Salaam alilishambulia vikali kundi hili linalodai kulinda na kutetea Legacy ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli kwa kuinyooshea vidole Serikali yake kwa Rushwa na Ufisadi yenye vimiezi vichache tu madarakani.

HOJA YANGU KWENU NI HII
Kati ya nafasi zaidi ya 1,000 za Uteuzi alizopewa Rais na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan Viongozi wapya aliowateua hawajafika watu 100 hadi naandika makala hii. Hawa Viongozi zaidi ya 900 ni Viongozi walewale wa awamu zilizopita hasa hasa awamu ya tano.

SWALI LANGU
1. Hawa watu wanaonyooshewa Vidole wameleta tabia mpya ya Rushwa na Ufisadi awamu ya Sita wametoka Wapi kwa kipindi hiki kifupi au ni hawa wapya 100?

2. Je, nihawahawa waliotoka awamu zilizopita leo wote wamegeuka ghafla mashetani weusi au ndicho walichokifanya huko nyuma ila Utawala uliwaatamia tu na leo wamekwama kuiba wanaanza kubeza?

3. Au wanaposema wanalinda legacy maana yake ni kutekeleza Rushwa na Ufisadi kisha kuisingizia Awamu ya Sita ambayo hata mwaka haina au ndio Legacy kwa Vitendo hii?

4. Au mambo haya yanafanyika kwa maksudi mazima ili kumdhoofisha Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali yake? Je nikweli Rushwa imekithiri au nihadaa tu wanafanya kwa Wananchi?

5. Mnaotetea Legacy ya Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli kwa kutafuna mali za umma kwani yeye alipenda Rushwa na Ufisadi?Msitafute laana,

NB: uwekeni Uzalendo wa Taifa letu mbele kuliko masilahi yetu binafsi kwani nchi hii ni kubwa kuliko yeyote kila mmoja aupinge Ufisadi toka ndani ya moyo wake
,
Nynyi kama kina nani hahaha ,somesheni watoto una sasa ujinga wa huyu dr msukuma
 
Dawa ya hii Mama bila kuwatazama usoni awafute wote

Huwezi kuongoza kwa Staff iliyowekwa na mtangulizi wako never

Mama weka watu wapya wenye Dira na Mwelekeo wako otherwise hawa wataharibu huku wakijiondoa,

#Kaziiendelee
huu sasa ndio ushauri mbaya kuliko yote nakwambia. Bora kaa kimya.
 
Back
Top Bottom