Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Naomba ujibu hoja yote nikiyoandika Kama Ni uongo.Wewe lini ushawahi kuwa sifia WCB,
Mbosso ile nyumba na gari aliyo wagea wazazi wake kaiokota.
Mtoto kiume ila una chuki na wivu wa kike yaani unajua mifuko na akaunti zote za wasanii wa WCB kama Kijumbe wa mtaa.
Sasa lavalava na queen Darleen watapata show kwa kazi zipi walizofanya????Kijana huna unalojua Kodi za Nyumba za wasanii wa wcb zinalipwa na WCB. Harmonize tuko nae tabata analipiwa na WCB.
Shopping za Mavazi unalipiwa na WCB kwa mwezi. Hakuna msanii wa wcb anajilipia kodi.
Lavalava mwaka mzima unaisha hana hata show mbili. Queen Darleen mwaka unaisha hana hata show moja hizo Kodi anatoa wapi.
Kila gari unaloona ANAPEWA ni mkopo atakatwa kwenye mapato yake. Kuweni mnauliza.
Ingekuwa ni hivyo rahisi unadhani rich Mavoko angejitoa!!!
Uliza watu wanaomjua rich Mavoko vizuti tabata ilifika kipindi anakosa mpaka nauli ya kwenda WCB mbezi kwenye studio sessions.
Sitaki niseme hayo ya Mboso utakuja kusema naongea uongo
Yaani nabishana na kitoto Cha miaka 19 pumbavu. Ndio maana mnabisha na kudanganyika na hizo insta. Msaada :utaratibu wa kuhama shule a level naingia kidato cha sita mwaka huu Wazazi wako wanajua uko unajisomea muda huu ili ufaulu pumbavu wewe unabishana Mambo ya diamond. Kenge wewe.Kwa hiyo wewe ulitaka mondi aangaike miaka yote kutengeneza bland ya wasafi halafu wanaume wengine wakateleze pale halafu wasepe kizembe tu???
WCB ni biashara ya Diamond na sio charitable organization kama king's music ya Kiba.
Uzuri wamesaini mkataba wenyewe.
5 ya Diamond, 5 ya ofisi, 5 ya Salam SK na Babu Tale kisha 5 ya Zuchu! Hapo ndio mgawanyo unavyokuwa. 😁😁😁😁😁 Msifikirie hela zote atakula Zuchu hizo.Katika hiyo milioni 20, kato la Diamond ni asilimia ngapi?
Isije kuwa binti wa watu anakuwa exploited kupitiliza...halafu baadaye akili zikimjia na kustukia gemu, bifu linaanza.
Mbona hujaweka Income Tax na gharama za show [emoji16][emoji16]5 ya Diamond, 5 ya ofisi, 5 ya Salam SK na Babu Tale kisha 5 ya Zuchu! Hapo ndio mgawanyo unavyokuwa. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Msifikirie hela zote atakula Zuchu hizo.
Hamna anayempenda kiasi hicho yeye anakula 25% tu 75% ni ya management.
Ndio gharama zinazoenda ofisini hizoMbona hujaweka Income Tax na gharama za show [emoji16][emoji16]
Wewe lini ushawahi kuwa sifia wasafi?Naomba ujibu hoja yote nikiyoandika Kama Ni uongo.
Otherwise you're going to add my ignore list
Dadeq! Aah we kiboko😀😀hatimae nimepata mtu mwenye mtazamo sawa kuhusu haya mambo, mm hata ndugu aoleee uwani kwangu siendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sherehe nayohudhuria n msiba tu
DIAMOND ANAHANGAIKA NA KUPANGA MZEE kinyumba chake cha madale cha kawaida mnonyie endeleeni kupiga kelele.
Muda si mrefu zuchu atamiliki nyumba yake.
wale mnaoamini kipaji tu cha mtu ndo kitampa maendeleo ENDELEENI KUJIDANGANYA..
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Acha fix wewe.Kama hawana nyumba huo ni UPUMBAVU WAO WENYEWE. maana bila hata shoo wakitumia hela za YouTube n.k kwenye chanel zao wanaweza wakajenga..
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Angalia username Yake kabla hujapoteza muda wako kumjibuDIAMOND ANAHANGAIKA NA KUPANGA MZEE kinyumba chake cha madale cha kawaida mno
- Marekani ni marekani na bongo ni bongo, value ya muziki kwa marekani ni kubwa kuliko huku kwetu.Lini atakuwa?..
unajua kuwa msanii wa ulaya akitoa nyimbo 1TU.
AMEKUWA TAJIRI.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Umeongea points kubwa- Marekani ni marekani na bongo ni bongo, value ya muziki kwa marekani ni kubwa kuliko huku kwetu.
- Value ya muziki inapimwa na wasikilizaji, mfano dimond alipofika leo ni kwa sababu ya value ya mziki wake kwa wasikilizaji.
- Huwezi toka tu kimuziki alafu ukaupa mziki wako value unayopanga wewe.
- Kwa zuchu kuna mawili either atashuka thamani au nguvu kubwa sana itatumika kumuendeleza.
- Marekani ni marekani na bongo ni bongo, value ya muziki kwa marekani ni kubwa kuliko huku kwetu.
- Value ya muziki inapimwa na wasikilizaji, mfano dimond alipofika leo ni kwa sababu ya value ya mziki wake kwa wasikilizaji.
- Huwezi toka tu kimuziki alafu ukaupa mziki wako value unayopanga wewe.
- Kwa zuchu kuna mawili either atashuka thamani au nguvu kubwa sana itatumika kumuendeleza.
DIAMOND ANAHANGAIKA NA KUPANGA MZEE kinyumba chake cha madale cha kawaida mno