matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Leo nimemtembelea ja.aa yangu. Mtoto wake alikuwa rafiki yangu sana.
Kabla hajapelekwa Boarding kwa sababu zisizozuilika alikuwa mchangamfu, mbunifu, anaonyea leadership skills akiwa na wenzake, anahoji maswali ya maana lakini huyu niliyemkuta sasa ni mwingine kabisa.
Muoga sana.
Ujasiri wote umemtoka.
Amejqa aibu
Hata kama kitu anaweza kukifanya anasubiri hadi apewe confirmation. Hajiongezi.
Jamaa yangu nikamuuliza dogo amekuwaje anasema waliliona hilo akiwa tu ndani ya mwaka mmoja wakamrudisha Day. Hapo anamiaka 3 Tangu atoke huko lakini bado amepoa na sio yule kabisa.
Kwa kuchunguza hakuna kibaya ambacho amefanywa lakini ameingiziwa hofu na brainwshings ambazo zimemtoa ubunifu na uchangamfu wake wa kuzaliwa.
Wazazi inabidi iwe hakuna namna ndio mtoto aende kule nakama kuna fursa hata kidogo akae day ajichanganye na dunia na sio caged life.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi.