Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #21
kitu chake kipi? boda boda mkuu?
unawaza hicho
Kiwanda kabisa namfungulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kitu chake kipi? boda boda mkuu?
Mkuu mpango wa ada ya kesho umegoma nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pia mkuu huko unaposema Mirium sio unampeleka tuu wana utaratibu wao wa kupokea wanafunzi
Ni jambo muhimu sana kuacha kupangia watu matumizi, kama shule ya ada ya 5M au 15M unaiona ni kubwa kuna mwingine hiyo ni hela ya shopping ya weekend moja, kifupi kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake asianze kuchunguza kamba ya mwenzake
Una mawazo kama yangu.
Mi sipeleki mtoto shule binafsi.
Nitamkazania hukuhuku shule za serikali atafaulu vizuri tu.
Huyu mleta uzi kama kasoma basi shule yake haijamkomboa"purpose of education is to replace an empty mind with an open one" unajua maana ya empty mind mkuu? empty mind sio kutokuwa na kazi/ajira
Hata akiajiriwa atakutana na wale wa buza tu
Wana lipi wanalojifunza huko?
Na wakitoka huko wanakuwa special kuliko wengine?
Si watakuwa mainjinia, waendesha ndege, madaktari, walimu, wafanyabiashara kama tu hawa wa Buza?
Ishu ni concept. 1. Unampa mtoto eliminate au 2. Unawekeza elimu kwa mtoto. Kimsingi kama umejiajiri fikiria namna ya kufirmalize hiyo taasisi yako na hapo ndio uweze kutumia garama kubwa kwenye elimu ya mtoto ikiwezekana hata nje ya nchi ili aje atumikie biashara ya familia hapo unakuwa umewekeza kwa mtoto. Nje ya hapo ni umpe elimu ya kujiongoza kwa garama za wastani maisha yaende
Huyu mleta uzi kama kasoma basi shule yake haijamkomboa
Tutanatofautiana malengo mkuu,
Ningekuwa na hela ningempeleka akasome hayo mashule ya Ada 70M/yr ili aoate network na vyuo nampeleka mamtoni pia,
Akimaliza vyote namkabidhi 2B aanze maisha.
Una uhakika na unachoongea??Wana lipi wanalojifunza huko?
Na wakitoka huko wanakuwa special kuliko wengine?
Si watakuwa mainjinia, waendesha ndege, madaktari, walimu, wafanyabiashara kama tu hawa wa Buza?
mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.kazi iendeleeKama Huna hela kaa kimya. Wenzio IST Ada 74m TZS/annum.
bado hoja haina msingi maana ni sawa na kusema ningejua!!Shida ni pale ambapo mzazi anajinyima hadi hatua ya mwisho plus vikoba ili mwanae asome private na akimaliza mtoto anabaki mzigo kwa mzazi na mzazi anakuwa mzigo kwa mtoto wanabaki wnaangaliana tu
Kuna watu wanashindwa kukuelewa mkuu, Yaani mtu anayeingiza labda milioni 20 kwa mwezi anampeleka mtoto shule ya million 5 kwa mwaka kwake anaona amempeleka shule ya gharama ndo maana wanaropoka tu, ila wanatakiwa kuelewa mlengwa wa maada ni nani? Kwa ufafanuzi ni yule mzazi ambaye anapambana anateseka yaani anakaa njaa kabisa et anasomesha mtoto private then huyo mtoto akimaliza chuo aje akae nyumbani ateseke, kumbe bora angempeleka shule za kawaida tu akapata elimu aje mtaani kupambana na changamoto za maisha au kama mzazi amejaliwa basi yale mapambano ya kusomesha shule za gharama angepambana kumuandalia mtoto cha kuanzia pindi atakapomaliza elimu yake,Kumpeleka Mtoto shule yenye Ada kubwa au Shule ya Garama ni kupoteza tu hela, cz mtoto atasoma atafika hadi Chuo then atamaliza Vizuri chuo, baada ya kumaliza chuo anakuwa mzigo wako tena anashinda tu nyumbani hana cha kufanya Ajira hamna unaanza kuangaika upya, Wakati Umetumia gharama nyingi hadi kumfikisha Chuo
Mzazi bora umsomeshe mtoto shule ya kawaida hela ya kumpeleka shule Yenye Ada kubwa Umuwekee kwenye account hili akija kumaliza awe na kitu cha kufanya
Sio unatumia gharama kubwa kumsomesha then anakuja kuwa Jobless anaanza kukutegemea kuanzia kula hadi kuvaa
Kwa sasa bora hiyo hela ya ada Uwekeze kwenye vitu vya maendeleo hata akija kumalza ana sehem ya kujishikiza
Elimu ya bongo ishakuwa hovyo tu unatumia gharama kubwa then hamna faida yeyote, ndo maana unakuta shule darasa zima wana div one ila wakimalza chuo ni majobless kazi hakuna
Wanafunzi waliofanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne, darasa la nne na form two wanahojiwa na vyombo vya habari
angalia hapa usipitwe
![]()
Consolata Lubuva Tanzania One 2021 NECTA Form four national exam talks to the media
tanzania one 2021 form four, tanzania one form four, tanzania one kidato cha nne 2021, shule kumi bora kidato cha nne 2021, matokeo kidato cha nne /22bit.ly