Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

Wewe ni mtu duni mno" Huna ujuacho kaa kimya!!
We ndiyo duni na dhaifu kuliko yeyote kifikra!!!
Likely wewe Ni jisukuma Fulani tokea Geita uliyenufaika na huo utawala wa kibabe!!
Jiulize: Baba wa Taifa Mwl. Nyerere(RIP) alipofariki 1999 na Mzee Benjamin Mkapa alipofariki mwaka Jana 2020 mbona hatusikii LAWAMA ZOZOTE isipokuwa Hayati Magufuli peke yake tu??
Je, unataka kutuambia Nyerere akiyepambana na Mkolone akatuletea Uhuru Watanganyika na nchi zingine za Afrika hana maana kuliko Magufuli?? Absurd!!
Je, Mzee Mkapa a.k.a Mr. Clean aliyeinua mapato kutoka 25B mpaka 800-900 Bilioni na kujenga barabara za lami kwa maelfu ya kilomita siyo Bora Kama Magufuli?
Wasukuma acheni ukasuku wa kukaririsha watu ati Magufuli alikuwa Mzalendo sana....nonsense!!
 
You're entitled to reach your own opinion.
 
Kanda ya ziwa haina nguvu kisiasa bali ina wigo mpana wa kuamua nani awe Rais wa nchi.
Hata hivyo pamoja na kuwa John anatoka Kanda ninayotoka mim, lkini binafsi nilimkataa na sikukubaliana na mambo yake.

Je Ujinga uliokuwa unafanywa na utawala wake haukuigusa Kanda ya ziwa?? Mfano TRA hawakuwasotesha namba wafanyabiashara walioko Kanda ya ziwa??

je kanda ya ziwa watu hawakutekwa na kuokotwa kwenye viroba??

John aendelee kulala panapomsitahili
 
Mkuu, hujui chochote tulia wewe, wewe Bado Sana!!
 
Waache watu waseme yaliyo moyoni. Au hujui kuujaza moyo machungu Ni sumu kali? Ni kweli tulihitaji kiongozi anaesimamia rasilimali? Lakini sio kuziba midomo ya watu. Sio kupora uhuru wa raia kuchagua viongozi. Sio kuwaonea wenye mtazamo tofauti na wako. Hata watu katika familia moja hawakubaliani katika kila jambo. Lakini haiwafanyi washindwe kuishi pamoja. Kufanya kila mtu akuogope sio sifa nzuri. Matokeo yake ndiyo haya. Hata waliokuwa karibu naye hawaonekani kujua safari ilikuwa inaelekea wapi. Inaonekana ushauri/ maoni yao hayakuwa na nafasi. Hapakuwa na uwajibikaji wa pamoja ( collective responsibility). Vingine tusingeona mgeuko wa ghafla. Waache watoe gesi iliyojaa mapafuni. Ikiisha watatulia tutaendelea kuishi salama. Tanzania iko salama. Kila mmoja wetu ana kusudi katika kuishi kwake kwa kipindi chake. Hakuna mwanadamu anaefanya yote. Balikila mmoja hufanya sehemu yake, iwe ndogo au kubwa, kulingana na uwezo wake. Archimedes alikuwa kwa wakati wake, plato kwa wakati wake, socrates kwa wakati wake , wewe kwa wakati wako , mimikwa wakati wangu na yule kwa wakati wake. Mungu ibariki Tanzania.
 
Nadhani ndio nia moja wapo ya wanaofanya hivyo.Wanajua Wazukuma wakiichukia CCM,most likely CCM ita-loose sana kisiasa.Anyway let's hope CCM is doing something about this.
 
Congole brother!
Maneno kama haya unaweza kuyasikia kwa nadra sana toka kwa Wazalendo halisi kutokea moyoni kama weye!!!

Maneno kama haya usingetegemea kuyasikia yakitoka mdomoni mwa Marehemu Magufuli Mzalendo kwa maneno lakini Kivitendo ni dikteta aliyebobea!!
 
Unauliza Ufida upo wapi tena ina maana ripoti ya CAG ujaisoma? Harafu acha kudanganya watu kanda ya ziwa ni kubwa mno unawajua kina Chenge? Wanyantuzu hawa wapo wengi sana walikuwa hawapatani ni shujaa wa Africa, labda Chato kipande cha Geita na Biharamlo.
 
Mwenye macho ya makengeza? Nashangaa akili zetu waafrika. Tunasujudu mafisadi na watu wasiokuwa na uzalendo kwa taifa lao.
 
Anaweza kuwa ameficha pesa nyingi tu lakini mimi na wewe hatujui ukweli wa hilo jambo. Lakini hata yeye hayati ana mazuri mengi tu aliyoyafanya. Huu nao ni ukweli pia
 
Ameoza,funza waliomla kwenye macho,pua,gumbo,ulimi, wanaendelea kumeza, haja Bkumkumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…