Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

Hakuna anayemshambulia Mwendazake, ila kinachojadiliwa ni ahueni iliyopatikana baada ya yeye ku evacuate dunia, Pia report ya CAG nayo imekoleza moto hasa kwenye hizo project alizozikingia kifua kumbe hela zinapigwa balaa.
 
Ndoto zinaruhusiwa mchana pia
 
Wwewe endelea kulia tuu sisi tunasonga mbele...
 
Wapumbavu ninyi!
Magufuli alipokuwa akiwapendelea dhahiri, kuchezea kipato cha korosho na kusema nitawapiga shangazi zenu, nyie mlikuwa mna kenua kama nyani.

Sasa mnakijua chama au siyo!
 
Hayo ni maoni yako tu.

Na hao unaowaita Watanzania wajinga na wasio na uelewa nao wanaweza kukuona wewe u mjinga na uliye na uelewa wa chini.

Kujiona una akili haimaanishi kwamba una akili kweli.

Haupo vile ujidhaniavyo.
Wewe mnufaika wa mfumo wa kibabe na dhuruma wananchi walio wengi wenye uelewa hawataki hata kumsikia na ndio maana hata alipo kufa wakaendelea na biashara Zao matokeo yake mkaanza kuwafungia maduka kwa nguvu.

Acheni kumfanya huyo kilaza wenu mungu mtu hasafishiki kamwe .
 
Mimi nimenufaikaje na huo mfumo unaouita ni wa kibabe na “dhuruma”?

Kafute ujinga wako kwanza kabla hujanijia na uharo wako!
 
Kwanza kabisa nikuhakikishie siyo kweli kwamba Magufuli anakubalika kihivyo Kanda ya ziwa.

Wasukuma ni watu PEACE sana wala usiwawafananishe na Mwendazake. Mwendazake ana DNA ya Kihutu toka Burundi. Yeye ndiye alikuwa analeta mgwanyiko na ubaguzi wa kikabila na kikanda.

Kwa mfano ule uwekezaji wa KIPUMBAVU aliowekeza pale kijijini kwao Chato in terms of Airport, Bank, Referral Hospital angeuweka Mwanza au Geita Manispaa, unajuwa uchumi wa miji hiyo unge impact maendleo kiasi gani?
 
Huyo hawezi kukuelewa kamwe maana ukweli mchungu anabaki kuwekea watu madole nasema hivi mpka huu mwaka uishe hakuna rangi atacha kuona atongea yote.
 
Alishaligawa yeye taifa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…