Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

Sukuma Gang[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na bado na bado na bado mpaka huu mwaka uishe mtaongea na kutukana vyote ila ukweli uko pale palemwendazake keshaondoka tena kibaya zaidi sio kaondoka madarakani no kaondoka moja kwa moja
[emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3]
 
CCM haina nguvu yoyote kanda ya ziwa zaidi ya kupora uchaguzi tu.

Lissu alimpiga Magufuli mpaka nyumbani kwao Chato.
 
Kwani Magufuli alikuwa raisi wa kanda ya Ziwa?

Kagera ni kanda ya Ziwa pia lakini aliwafanyia kitu kisicho cha ubinadamu kipindi cha tetemeko kwa hiyo sioni ni kwa namna gani wakazi wa Kagera wanaweza kumaindi Magufuli akichambuliwa unyama wake.
Nyie ndiyo wale mliopiga nyundo nyumba zenu kisa imepata ufa ili uje ulipwe na serikali.
 
Suala zima ni tumejifunza nini.

Vitu gani tusingependa marais wajao wasiige aliyofanya Magu na yapi waige.

Hayo tusiyopenda waige ndiyo mabaya yenyewe.

Waungaji mkono na wasiounga wazingatie hilo.
 
Wewe Sukuma Gang na wenzako naona mnawashwawashwa bado hii nchi ilikuwa ya watz na siyo kikundi cha watu wachache
 
,.....,.,,........,................,.......................
 
Kanda ya ziwa ipi ??

Maana mimi mwenyewe kwetu kanda ya ziwa na hakuna takataka nilikuwa siipendi kama Magu. Kwa chuki nikvyokuwa simpendi, nikimuona tu mpaka napata maumivu ya moyo.

Magu alikuwa HAFAI HAFAI HAFAIII hata kidogo.
 
Hayo ni maoni yako tu.

Na hao unaowaita Watanzania wajinga na wasio na uelewa nao wanaweza kukuona wewe u mjinga na uliye na uelewa wa chini.

Kujiona una akili haimaanishi kwamba una akili kweli.

Haupo vile ujidhaniavyo.
Huu ndio ukweli mchungu...
 

..siasa za Tz ndivyo zilivyo.

..Ubaguzi umekuwepo ktk kila awamu za uongozi hapa Tz.

..Kila awamu ya uongozi hutengeneza kanda pendwa, na kuna jamii hupewa majina mabaya kama maadui wa taifa.

..Hata ktk uongozi wa Magufuli kulikuwa na kanda pendwa, na kanda iliyochukiwa kuwa ni adui wa utawala wake.

..Tumuombe MUNGU atupatie uongozi utakaoachana na siasa za kuwagawa Watanzania.
 
Yani rahisi tu ukiona mtu anamnanfa jpm ujue mwizi huyo
 
Ww ni Kichaa tumchukie Hayati mtu aliyetufumbua macho dhidi ya tabia chafu ya Kanda ya SHASHI mtu ambaye hatoki Kanda yao ni mbaya Magufuli lala salama daima tutakuenzi daima kwa kuelezea mazuri uliyofanya kizazi na kizazi.
Sema wewe utamkumbuka,
Siwezi kumkumbuka daima Magufuli hata iweje,usipende kuunganisha eti tutamkumbuka.
Mkumbuke kwa lipi,muache huyo muuaji alale panapostahili.
 
Magufuli hakuwahi kuungwa mkono kanda ya ziwa , dhuluma zilizofanywa na serikali yake dhidi ya Wavuvi haziandikiki hapa JF
 
Upo sahihi..sipendi kabisa siasa za ubaguzi..sote ni watanzanja, sote ni waafrika, ubaguzi wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…