Kumsifia Rais Samia kila usimamapo Mbele yake sio kosa; haikuanza Leo.

Sifia ya awamu iliyopita na hii imevuka mstari mwekundu , siku nikiwa ikulu katika watu wangu wa karibu watakao kuwa wanazidisha sifa lazima kuwapiga chini , sio wa kuamini hata siku moja

Na nitatoa uhuru kwa wasaidizi wangu kunikosoa bila kuangalia kiti ,
 
Mkuu unaweza kuwa na nia hiyo, lakini washauri wako ambao wengi watakuwa na mindset za uchawa watakubali huo mtazamo wako? Mfano mama Samia alionyesha anataka kuweka baadhi ya mambo vizuri, lakini kadiri siku zinavyoenda chawa wanamwambia mfumo wa Magufuli ndio sahihi. Sasa hivi yuko 50+ ya tabia za Magu, and the worse is yet to come.
 

Hatari Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…