Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Kupambana na ufisadi hakumpi mtu.haki ya kufanya ufisadi
 
Kupambana na ufisadi hakumpi mtu.haki ya kufanya ufisadi
Mkuu huyu namjua sana na nimeandika sana kuwaelimisha watu kuwa hawamjui kuwa ni mwizi lakini hawakulewa na bado mtalisikia la SGR muda si mrefu
 
We subiri, Magufuli anakuja kuwapiga kombora moja tu wote chaliii!

Sasa hivi anangojea waendelee kujifariji na hili ili hoja ya maandamano iendelee kuwa kapuni..
 
Naona wanufaika mapovu yanawatoka tunataka kujua 1.5 t zimekwenda wapi
 
Mwisho wa siku mtasema ripoti ya CAG imeandaliwa na Chadema.
 
Correct!
 
Unadhani huyu mwizi kama kweli hakuiba angeweza kukaa kimya kwa kiasi hichi. Nadhani kila aliyemsema ni mwizi angeshapata joto. Sio huyo.
 
Mwenye funguo ya store, kitu kikipotea ndiyo wa kwanza kushukiwa, ulitaka tumsakame Mkewe Janeth au mpishi wake Ikulu! Leteni maelezo ziko wapi 1.5 trillions, period.
 
Bora hata wale tunajua walibeba kwenye sandarusi, viroba, magunia... Hawa wa sasa sijui mmetupiga vipi!
 
Bora hata wale tunajua walibeba kwenye sandarusi, viroba, magunia... Hawa wa sasa sijui mmetupiga vipi!
 
Anasingiziwaje wakati yeye ndio anakaa na fuko la hela zetu,
Halafu hapo hapo 1.5 t haionekani? vita yake ya ufisadi haina maana wakati na yeye ni fisadi papa,
Mbaya zaidi.CAG ndo kachunguza kagundua hayo.
CHA AJABU LAWAMA TUNAPEWA UKAWA.
mazuri yao,mabaya yetu.
 
Nakutaka wewe mybibi[emoji87]
Nimeskia raha kunijibu my bibiyoo[emoji87]

Naelewa viongozi wenu mliowafuata kimkumbo wanatwnda ya ajabu.. tena hata mengi hakuwaulizi mpo tu kuonyesha nani mnamuhusudu zaidi.. naye ni.. JPM kiongozi mnayelala munamuwazia.. sema oyeeeeeee
 

Ni kweli kwa sababu "All animals are equal, but some are more equal".
 
Courtesy Copy to CAG
 
Wewe kwa hiyo hakuna wizi? ishu za ufisadi wa trln 1.5 yanashughulikiwa na taasisi rasmi, in fact Zitto kama alivyo ni TAASISI rasmi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…